EasyFit
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 1,269
- 1,082
Tangu kumalizika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa sijawahi kumsikia mzee wangu huyu sijui amepatwa na masahibu gani. Tafadhali Kinana chama kinakutegemea jitokeze kifua mbele tumeshinda ingawa si kama tulivyotegemea, aliwahi kusema katibu mkuu wetu wa zamani Kolimba RIP kuwa "ushindi ni ushindi tu hata wa kura moja'.
Jitokeze bana tunataka mbinu zaidi ya kubeba matofali au umeridhika na ushindi wa 60%?
Jitokeze bana tunataka mbinu zaidi ya kubeba matofali au umeridhika na ushindi wa 60%?