Mzee wa Upako: Weka muziki acha maneno ndio yenyewe

mwambieni mwezi march umekaribia, Atafute kibali kabisa cha kuuza gongo
 
Nami nilimsikia sijui lini pale nilikuta ndio anamalizia alisema "habari ya mjini sasahivi ni acha maneno weka mziki...watashindanaaaa lakini hawatashinda...!!"

Waumini wakapiga makofi kwa shangwe na vigelegele

Halafu akilini mwangu likanijia swali "Waumini wa haya makanisa ni aina gani ya watu?"
Kabla huja jiuliza hilo swali ulipaswa kujiuliza hivi watanzania ni aina gani ya watu.? Unge pata hilo ingekuwa rahisi kwako kutoumiza kichwa kuuliza waumini wa kanisa
 
Najua watu kibao wanatumia mpesa na tigopesa kwenye zile namba alizoweka
 
Nami nilimsikia sijui lini pale nilikuta ndio anamalizia alisema "habari ya mjini sasahivi ni acha maneno weka mziki...watashindanaaaa lakini hawatashinda...!!"

Waumini wakapiga makofi kwa shangwe na vigelegele

Halafu akilini mwangu likanijia swali "Waumini wa haya makanisa ni aina gani ya watu?"
 
Mambo ya dini haya ni kucheza na brain za watu!! sina kipaji tu - hii sekta mpya ni rahisi mno kutoboa!!
 
"Mmesema nimehubiri kwa kutumia mziki wa kamatia chini kanisani, tena madhabahuni kwani madhabahu hii iko mbinguni? Sasa hivi habari ya mjini ni acha maneno weka mziki" Antony Lusekelo
 
Back
Top Bottom