Mzee wa Upako: Kufa masikini ni ufala!

Na kujitajirisha kwa biashara ya dini ni ufala plus. Yaani anamtukana hadi yesu na wanafunzi wake wake 12, kwani walikuwa matajiri walipoishi?
Wangekuwa maskini nani angepigia kura lile vazi lake la kitani safi,askari wote wa kirumi walilimezea mate mpaka ikawa vita ya kuamua kwa kura
 
Hizo ndio injili za kuchakachua. Utajili aliozungumzia yesu ktk biblia si wa duniani ni utajili WA mbinguni utajili WA Milele. Nashangaa wachungaji WA sasa wanapotosha waamiani wao kua utajiri unatakiwa ni WA duniani.
 
MTU akishiba maharage anaweza kusema chochote kile!
Situkuzi umaskini lakini ni kujitoa ufahamu kwa hali ya juu kutukana kila maskini na kumwona kajitakia! Kuna maskini ambao mazingira yamewalazimisha kuwa maskini japo wana akili sana!
Hali kadhalika kuna matajiri waliotokana na mazingira waliyokulia tu na si kutokana na akili zao! Sasa kuwaita fala ni kutowatendea haki!
 
Binadamu tungejua MUNGU anawaza nini tungechoshana kweli kweli.

Tuingoje tu hiyo siku ya hukumu, ndio tutajua mbichi na mbivu.
 
Huyu nitapeli...jeuli ya pesa wanazotoa waumini wake.. Ambao tayali anawaita mafala.jamani mungu hapendi.huyu mtu tunae mjua hakuwa hivi!!
 
Mzee wa upako siku za karibuni ameonekana akiwa kachoka sana kiafya. Tatizo ni nn? Mwenye picha yake atupie humu tafadhali.
 
Maandiko yanasema, ni rahisi kwa Ngamia kupenya katika tundu la Sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu...
ukitaka kutoka kiurahisi siku hizi, anzisha kanisa Pesa wanaleta wenyewe na hazina Auditing..
Siku hizi Maji na Mafuta yamekuwa biashara kubwa kwa makanisa mengi ya wokovu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kwingine hakuna ubadhirifu wa michango ya waumini au huko kumejaa watakatifu ??
Maandiko yanasema, ni rahisi kwa Ngamia kupenya katika tundu la Sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu...
ukitaka kutoka kiurahisi siku hizi, anzisha kanisa Pesa wanaleta wenyewe na hazina Auditing..
Siku hizi Maji na Mafuta yamekuwa biashara kubwa kwa makanisa mengi ya wokovu...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom