Mzee wa Upako: Kufa masikini ni ufala!

Mzee wa Upako: Kufa masikini ni ufala!

kwanza hamna mfanyakazi wa serikali anayeshindwa kununua kitanda
Ametolea mfano wa chini kabisa mkuu, sio kwamba utashindwa kununua hata kitanda tu! Hata Nyerere alikuwa muadilifu namba moja lakini vitanda alikuwa navyo.
 
Kuna watu wamefilisika kwa kwa kutoa sadaka mpaka sasa hawana uhakika wa Maisha! Hawa sijui tuwaitaje?

Hao ndo MAFALA anaowazungumzia ,kwani hizo sadaka mtu anawekewa mtutu au panga shingoni kulazimishwa kutoa au ufala wake?

Yaani una vu.zi limejaa hiyo 200 ya wembe unaenda kutoa sadaka lazima uitwe fala
 
Ndo maana nasema
Naungamq ubatizo mmoja
Nasali kanisamoja Catholic

(RC) bwana awe nanyi
 
Na kujitajirisha kwa biashara ya dini ni ufala plus. Yaani anamtukana hadi yesu na wanafunzi wake wake 12, kwani walikuwa matajiri walipoishi?
 
Na kujitajirisha kwa biashara ya dini ni ufala plus. Yaani anamtukana hadi yesu na wanafunzi wake wake 12, kwani walikuwa matajiri walipoishi?
Mkuu hapa hatuongelei imani bali tunaiangaza jamii nzima kwa ujumla wake.
 
Miongoni mwa waumini wenye bahati ni hawa wa huyu bwana..

Mungu anawaonyesha wazi wazi kabisa.. Sijui watamlaumu nani baadae!
 
Back
Top Bottom