Mzee wa upako: CCM wanamgwaya Lowassa

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
22,378
19,213
Akiongea jijini Dar es Salaam jana kiongozi huyo wa kiroho amesema kwamba CCM na viongozi wake wanamuogopa sana Lowassa ndio maana jina la Lowassa haliwakauki vinywani mwao.

Vyanzo: Mwananchi, Tanzania daima na magazeti mengine.

MAONI YANGU
Huyu mchungaji na Askofu Gwajima huwa nawakubali sana. Sio wanafiki kama wachungaji wengine wachumia tumbo.
 
Hahahaha nasikia walimtaja mara 904 hahahahaha na Mwenyekiti wake alitajwa mara 90 tu kwahio Mkutano mzima uligeuka kuwa wa Lowasa hahahhaahaha

Mimi sikumbuki kiongozi yeyote kwenye mkutano wa CCM kumtaja kwa jina huyo Lowassa wenu, nilikuwemo mkutanoni na sikusikia jina hilo ukiacha kiongozi mstaafu Makamba aliyemtaja Lowassa kwa jina...
 
Hahahahahahahaa kubishana ndio jadi yenu kwahio endelea kubisha wakati ilikua hivyo!!
 
mzee wa upako huwa si mzungumziaji sana masuala ya siasa, sasa hili inaonekana limemkera sana,,,,,
wanatangaza siasa mpka 2020 ila wao wanaendeleza kiuchwara
 
na nyie ni kawaida yenu kuzusha hatushangai mkituwekea maneno kinywani yasio tustahili
Mzushi namba moja ni yule Kada mwenzio aliyeanisha uzi hapa kusema kabla ya 23 July 2016 Upinzani utatikisika baada ya Makada maarufu kupokelewa CCM, namtaka leo hii aje hapa akanushe na akiri kuwa alisema uongo mbele ya jamii, au huyu nae tumemzushia?
 
Mimi sikumbuki kiongozi yeyote kwenye mkutano wa CCM kumtaja kwa jina huyo Lowassa wenu, nilikuwemo mkutanoni na sikusikia jina hilo ukiacha kiongozi mstaafu Makamba aliyemtaja Lowassa kwa jina...

Labda ulikuwa umelala usingizi kama kawaida yenu unaamka kupiga makofi tu au kuzomea kama walivyo wale wabunge wenu wa ndiyoooooooooooooooo
 
Kusoma uwezi hata picha uwoni teh teh teh...
 
Mzushi namba moja ni yule Kada mwenzio aliyeanisha uzi hapa kusema kabla ya 23 July 2016 Upinzani utatikisika baada ya Makada maarufu kupokelewa CCM, namtaka leo hii aje hapa akanushe na akiri kuwa alisema uongo mbele ya jamii, au huyu nae tumemzushia?
Akina jackline wolper ndo makada wao
 
Labda ulikuwa umelala usingizi kama kawaida yenu unaamka kupiga makofi tu au kuzomea kama walivyo wale wabunge wenu wa ndiyoooooooooooooooo

Wote nyie hamnjaelewa mantiki ya comment yangu...mimi nimesema kuwa zaidi ya kiongozi mstaafu Makamba ni nani mwingine alimtaja Lowassa kwa jina???? Je, Kikwete alimtaja Lowassa kwa jina??? Je, Magufuli alimtaja Lowassa kwa jina???? Mbona mnakuwa wagumu mno kuelewa such a simple and a straightforward comment???? Hilo la kulala usingizi sijui unamananisha nini Douglass...naishia hapa...
 
Lakin si kweli Lowassa alikuwa ameshika chama!!

Nadhan aliwaachia mtafaruku mkubwa sana ambao si rahis kupona leo waache wamzungumzie
 
Wote nyie hamnjaelewa mantiki ya comment yangu...mimi nimesema kuwa zaidi ya kiongozi mstaafu Makamba ni nani mwingine alimtaja Lowassa kwa jina???? Je, Kikwete alimtaja Lowassa kwa jina??? Je, Magufuli alimtaja Lowassa kwa jina???? Mbona mnakuwa wagumu mno kuelewa such a simple and a straightforward comment???? Hilo la kulala usingizi sijui unamananisha nini Douglass...naishia hapa...

Si lazima kutaja jina kila mwenye ufahamu anajuakuwa aliyekuwa anaongelewa ni Lowasa
 
Ni sawa na republican juzi ktk mkutano mkuu wakumpitisha donald trump, walimtaja mara nyingi clinton wa democrate zaid ya trump
 
Hahahahahahahaa kubishana ndio jadi yenu kwahio endelea kubisha wakati ilikua hivyo!!

Duh, hivi ni mwanasiasa gani yule amesema hivi karibuni kuwa ukitaka upate ujiko ndani ya UKAWA ni lazima uhakikishe kuwa umepigwa virungu na polisi na kuswekwa rumande????????Yaani katika CV ya UKAWA kwa mujibu wa mwanasiasa huyo wa UKAWA (au aliyekuwa UKAWA) hivyo ni miongoni mwa vigezo,...Hakikisha unawachokoza polisi na dola kwa ujumla ili upigwe virungu....tehtehtehtehteh....Mwingine nikamsikia kuwa alipokuwa UKAWA alikuwa mahabusu, yaani huko UKAWA mtu anaminywa kifikra, kimawazo na kivitendo... Ukiona wenzio wanazungusha mikono na wewe lazima uzungushe mikono...duh, duh tehtehtehteh...ukibisha mkutanoni wewe ni adui....ukiimba kwenye mkutano 'tuna imani na Slaa utaipatapata...
 
Mimi sikumbuki kiongozi yeyote kwenye mkutano wa CCM kumtaja kwa jina huyo Lowassa wenu, nilikuwemo mkutanoni na sikusikia jina hilo ukiacha kiongozi mstaafu Makamba aliyemtaja Lowassa kwa jina...
Haya tumesikia kuwa ulikuemo wewe Steven Wasira
 
Hahahahahahahaa kubishana ndio jadi yenu kwahio endelea kubisha wakati ilikua hivyo!!

Duh, hivi ni mwanasiasa gani yule amesema hivi karibuni kuwa ukitaka upate ujiko ndani ya UKAWA ni lazima uhakikishe kuwa umepigwa virungu na polisi na kuswekwa rumande????????Yaani katika CV ya UKAWA kwa mujibu wa mwanasiasa huyo wa UKAWA (au aliyekuwa UKAWA) hivyo ni miongoni mwa vigezo,...Hakikisha unawachokoza polisi na dola kwa ujumla ili upigwe virungu....tehtehtehtehteh
 
FB_IMG_1469427511949.jpg

wote hao siku ya kikao dodoma walimtaja lowassa mara 906 hii ni kuwa Mchungaji Gwajima anaongea ukweli.

swissme
 
Na bado.....Lowassa ataendelea kuwatesa CCM akili zao zikae sawa.
 
Back
Top Bottom