Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,490
- 100,883
mmmmmggghhhhDuh, hivi ni mwanasiasa gani yule amesema hivi karibuni kuwa ukitaka upate ujiko ndani ya UKAWA ni lazima uhakikishe kuwa umepigwa virungu na polisi na kuswekwa rumande????????Yaani katika CV ya UKAWA kwa mujibu wa mwanasiasa huyo wa UKAWA (au aliyekuwa UKAWA) hivyo ni miongoni mwa vigezo,...Hakikisha unawachokoza polisi na dola kwa ujumla ili upigwe virungu....tehtehtehtehteh