Mzee wa upako aua!

Mzee wa upako aua!

Pole mtumishi wa Mungu...Hatujui details za ajali hii zaidi, so for my case iwll be silent.
 
kumbe ilikuwa kweli na mbona aijatoka kwenye vyombo vya habari
pole nyingi kwa wafiwa
sheria ichukue mkondo wake kama nii mzee wa upako anamakosa basi sheria ifwatwe bila kupindishwa
 
Jamani hiyo ni bahati mbaya tu hali insiarance yake ilikuwa hai
huyo alieuwa na bajaji wawili na leo hii yuko nje,na insuarance imeisha je?
 
Jamani hiyo ni bahati mbaya tu hali insuarance yake ilikuwa hai
huyo alieuwa na bajaji wawili na leo hii yuko nje,na insuarance imeisha je?
 
Pole mzee wa Upako na ndugu wa marehemu. Unajua ajali barabarani haina kinga na mtu yeyote anaweza kusababisha ajali. Na hawa waendesha pikipiki ni hatari sana, yaani hawafuati sheria kabisa, wanapenya hovyo hovyo kama panya. Huwa wananikera mno, sitaki hata wanisogelee kabisa. Na siku hizi waendesha baiskeli, wanataka kabisa kupita barabarani wakati wanatakiwa wapite kwa wenda kwa miguu. Sheria za trafic Tanzania hazifuatwi hasa na hawa wenzetu wa Pikipiki.



Naona umesha jaji na kutoa hukumu, Walokole bwana!!!!
 
Pole sana Mch Lusekelo.

Hata hivyo ijulikane kuwa si busara kwa Watumishi wa Mungu na Viongozi kujiendesha wao wenye; inashauriwa kuwa wawe na madereva/ waendeshwe maana hata kama aliyegongwa ndiyo chanzo cha ajali bado itakugharimu sna mbele ya jamii na hata nafsi na hisia zako.
 
oooh nawapa pole ndugu wa marehemu, naamini ni tukio la bahati mbaya ukizingatia Lusekelo ni mtumishi wa MUNGU.

Ha ha ha watu wengine bana..mahakama ndio itajua kama aliyegonga na aliye gongwa nani ana makosa...mtumishi wa Mungu kitu gani bana

Haki bin haki
 
Pole Mzee wa upako. Ukiwa bado katika huu ulimwengu usisahau kuwa, binadamu wote tubapambana na matatizo ya aina aina na haina maana mtu mwenye matatizo ana kasoro au hajakamilika. Kingine, biblia inatufundisha tuache kujikweza maana tutashushwa. Hivi karibuni umejikweza bila sababu za msingi na sasa unakuwa target ya mashambulizi kwa kosa ambalo mwanadamu yoyote anaweza kulifanya.
 
Back
Top Bottom