Mzee wa upako aua!

Mponjoli

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
668
152
Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba Muhubiri Anthony Lusekelo(almaarufu kama MZEE WA UPAKO) amesababisha ajali na kumgonga mwendesha pikipiki mpaka kupelekea kifo chake.

Ajali hiyo imetokea ubungo kibangu.

Habari zaidi baadae
 
...eeh!
 
oooh nawapa pole ndugu wa marehemu, naamini ni tukio la bahati mbaya ukizingatia Lusekelo ni mtumishi wa MUNGU.
 
Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba Muhubiri Anthony Lusekelo(almaarufu kama MZEE WA UPAKO) amesababisha ajali na kumgonga mwendesha pikipiki mpaka kupelekea kifo chake.

Ajali hiyo imetokea ubungo kibangu.

Habari zaidi baadae

Pole mzee wa Upako na ndugu wa marehemu. Unajua ajali barabarani haina kinga na mtu yeyote anaweza kusababisha ajali. Na hawa waendesha pikipiki ni hatari sana, yaani hawafuati sheria kabisa, wanapenya hovyo hovyo kama panya. Huwa wananikera mno, sitaki hata wanisogelee kabisa. Na siku hizi waendesha baiskeli, wanataka kabisa kupita barabarani wakati wanatakiwa wapite kwa wenda kwa miguu. Sheria za trafic Tanzania hazifuatwi hasa na hawa wenzetu wa Pikipiki.
 
Huyu nae juzi juzi hapa alipata ajali leo tena kwa nn anaendesha mwenyewe? Hivi hana dereva?
 
Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba Muhubiri Anthony Lusekelo(almaarufu kama MZEE WA UPAKO) amesababisha ajali na kumgonga mwendesha pikipiki mpaka kupelekea kifo chake.

Ajali hiyo imetokea ubungo kibangu.

Habari zaidi baadae

Si alikimbia huyu baada ya ajali
 
Pole mzee wa Upako na ndugu wa marehemu. Unajua ajali barabarani haina kinga na mtu yeyote anaweza kusababisha ajali. Na hawa waendesha pikipiki ni hatari sana, yaani hawafuati sheria kabisa, wanapenya hovyo hovyo kama panya. Huwa wananikera mno, sitaki hata wanisogelee kabisa. Na siku hizi waendesha baiskeli, wanataka kabisa kupita barabarani wakati wanatakiwa wapite kwa wenda kwa miguu. Sheria za trafic Tanzania hazifuatwi hasa na hawa wenzetu wa Pikipiki.

Hili swala la ajali haina kinga nafikiri limepitwa na wakati!!!
 
Kweli kabsaa! Ungeona hao waendesha tukutuku wanvyoendesha acha tu!! kisa wanawai mahesabu hawajali kabsaa sheria wana overtake popote pale!! Ukiwa unaendesha gari ndo utajua karaha ya tukutuku!!
 
ooh jamani hiyo ni traffic issue wataangalia kama ana hatia na hatua za kisheria zitachukuliwa
hakuna anyemuombe mwenzio mabaya
Alikimbia baada ya ajali je amepatikana? Kama amepatikana sheria ifuate mkondo wake pamoja na upako wake
 
Mzee wa upako amegonga sana vichwa vya habari hivi karibuni. Au ndiyo yale yale ya ngoma ivumayo sana...............!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom