King Suleiman
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 496
- 329
Devil in action, " sio wote wasemao Bwana Bwana wataingia ufalme wa Mungu" Mungu anakutazama mchungaji kama umenunuliwa au ni yeye kakutuma kumtetea raisi mwenye dhuluma kama mfalme Naboth na malkia Yezebel, sisi hatukuhukumu bali Bwana unaemtaja ndie atakuhukumu kwa haki.