MZEE WA UPAKO AJIKOMBA KWA jk

Every person is free to say what he wants ila it's not good viongozi Wa dini wakijihusisha na siasa
 
Anatumia haki yake ya kikatiba ya kuwa huru kutoa maoni yake, na yeye akiwa mtanzania halisi. Anayeona anajipendekeza kwa mtu basi yeye ni dikteta anayetaka watu wasiwe huru kutoa maoni yao unless watoa maoni yanayompendeza yeye huyo dikteta na chama chake
 
Unajua Mzee wa upako hanashule ya kuzungumzia mambo ya uchumi.
Hajui shida ya watanzania kiuchumi yeye anaangalia uongozi na sio hali halisi.

Arudi loliondo kunywa kikombe nadhani cha kwanza hakijamsaidia.
 
ANGALIEN ChANNEL 10 KIPIND CHA MZEE WA UPAkO JUMAMOS USIKU MTAONA PALE ANAPOHUBIRI KUNA BENDERA YA US NA UK,PIA KUNA ALAMA YA FREEMASON
 
Back
Top Bottom