mkuu kama ni k weli basi naamini binadam anabadilika,huyu mzee wa upako alikuwa supporte mzuri ma magamba,sasa inakuwaje??una uhakika na hayo maneno kwamba yalitamkwa na yeye?

Mzee bado unaingia makanisa ya hao matapeli? Mchungaji ana gari la mil. 200 halafu kuna waumini wake wanakosa nauli ya kutoka buguruni to ubungo! I think kabla hajawanyoshea kidole ccm ajichek kwanza mwenyewe! Halaf mkuu inaonyesha haupo siriazi na ibada, yaani unajamiiforuming inside the ibada! Huyo mchungaji wako anafikiri kwa kutumia masanilo!!!
Anasema Nepi ni nguo lakini akivaa mtu mzima si ni kituko? Sasa Tanzania imevaa nepi.
Anasema nchi hii ni kama mwanamke asiye na mwenyewe anayeingiliwa kwa zamu na kila mwanaume[/QUOTE said:

nimeipenda, imekaa kinamna fulani
Mzee bado unaingia makanisa ya hao matapeli? Mchungaji ana gari la mil. 200 halafu kuna waumini wake wanakosa nauli ya kutoka buguruni to ubungo! I think kabla hajawanyoshea kidole ccm ajichek kwanza mwenyewe! Halaf mkuu inaonyesha haupo siriazi na ibada, yaani unajamiiforuming inside the ibada! Huyo mchungaji wako anafikiri kwa kutumia masanilo!!![/QUOTE]
Wekundu huo unanipa shaka na Imani yako,Wewe acha akili za mgando, Kanisa gani ambalo halikuanzishwa na Mwanadamu ? Mzee wa Upako angekuwa MZUNGU ah kwa akili za Viroboto klichwani badala ya Ubongo na hii ngozi nyeusi ungechekelea sana (kama kweli si wa upande ule) Hapa jambo la msingi ni kuangalia Maudhui ya nini alichosema huyo Mtumishi wa MUNGU na si pumba unazotaka wengine tuziamini.
Hiyo Blue ndilo Tatizo la Mswahili, hivi hiyo Range Rover Vogue aliyonayo ina thamani gani ukilinganisha na Utajiri wa Makanisa kama RC,KKKT just to mention few of them.Lakini waumini wa madhehebu hayo Majority ni choka mbaya kuliko Maelezo, Kaangalie Latin America au Philipines kulikojaza idadi kubwa ya Maskini ambao ni waumini wa Madhehebu hayo achilia mbali hapa Bongo star Search wa nani anaongoza kwa umaskini proportionaly kati ya Waumini wa Mzee wa Upako na hao wachache niliowataja.
Hakika sasa naamini Ubongo wako umehama na nafasi yake imechukuliwa na Kamasi
Mamlaka inayoheshimiwa ni ile ambayo na yenyewe inatimiza wajibu wake kwa raia wake. Kinyume cha hapo ni mamlaka isiyo na uhalali wa kuheshimiwa ambayo hatimaye huchochea uasi.Ameacha kuheshimu mamlaka!
Safi sana, mwaka huu tutaona na kusikia mengi. Mh Lukuvi pamoja na Ndugai waliwai kusema kuwa Mchungaji Msigwa(MB wa Iringa) awe mfano mbele ya macho ya wananchi kama kiongozi wa kiimani. Naamini alichokisema mzee wa upako ndicho walichokitaka kina Lukuvi na Ndugai.Kazi nzuri sana hii.Big upNipo live kwenye kanisa la Mzee wa Upako hapa Kibangu, haya ni machache aliyoyasema leo.Alianza kama utani, akikemea tabia ya watznzania kupenda misaada katika kujenga makanisa badala ya kutoa sadaka ili makanisa yajengwe.
Baadae akasema ana mtoto mdogo anaitwa Elshadai ana mwaka mmoja akauliza miaka 30 ijayo ataikuta Tanzania ipo salama?
Mwishowe akasema CCM na Serikalio ni Chama cha washenzi na wamejaa ushenzi. Hatuwezi kuongozwa na wahuni waliojaa viroboto kichwani. Akasema ni kwa nini ndege ya jeshi ije uwanja wa ndege usiku ibebe wanyama alafu kina Pinda wamekaa kwenye nafasi zao bila kuwekwa ndani. Amesema Pinda na serikali nzima wanapaswa kukaa pembeni.
Amesema atawaroga na hawaogopi. Atawaroga kwa sababu CCM na serikali imejaa washenzi, wapumbavu.
Akasema nchi imejaa rushwa na ndio maana watu wa Zanzibar wamekufa. Amesema hata rais kutoa pole ni unafiki tu kwa sababu waliozembea wote walipaswa kuwekwa ndani.
Haogopi mtu na ameshangaa ni kwa nini CCM hiyo hiyo imwite Rostam Gamba, Rostam aachane na siasa uchwara alafu Rostam huyo huyo ampigie debe mgombea Igunga, Rostam ana midomo ningapi? Amesema sisi watanzania tumerogwa na CCM kwakuwa sio wazima.
Anasema hakatai kuna maendeleo lakini maendeleo hayalingani na raslimali. Anasema Nepi ni nguo lakini akivaa mtu mzima si ni kituko? Sasa Tanzania imevaa nepi. Anasema hapigi siasa kwakuwa jambo hilo linagusa maslahi ya watu.
Amewaagiza watu wa usalama wa taifa waliopo kanisani wakawaambie viongozi wao kuwa wasipojirekebisha ndani ya siku saba atawaroga. Amekasirishwa sana na kuuzwa kwa wanyama hai na kuzama kwa meli Zanzibar. Anasema CCM ni chama kilichoiharibu Tanzania.
Nyumba walizouziana za serikali wazirudishe, wasiandike urithi kwa watoto wao. Amewaagiza wanajeshi kuwa anaapa kuwa uamuzi wa kuuza nyumba ulikuwa uamuzi wa kishetani na wajiandae ipo siku zitarudi.
Wakati wote akizungumza hayo watu wote walikuwepo ndani ya kanisa walikuwa wanalipuka kwa kushangiklia. Anasema nchi hii ni kama mwanamke asiye na mwenyewe anayeingiliwa kwa zamu na kila mwanaume
Nipo live kwenye kanisa la Mzee wa Upako hapa Kibangu, haya ni machache aliyoyasema leo.Alianza kama utani, akikemea tabia ya watznzania kupenda misaada katika kujenga makanisa badala ya kutoa sadaka ili makanisa yajengwe.