TANZIA Mzee wa Mjegejege afariki dunia

View attachment 2939786
Msanii wa Vichekesho Nchini Tanzania 🇹🇿 Umar Lahbedi Issa, Maarufu Kwa Jina la Mzee wa Mjegeje, Amefariki Dunia Leo Alfajili Katika Hospitali ya Mwananyamala Alipokuwa Akipatiwa Matibabu.

Meneja wa Msanii Huyo, Real Jimmy Amethibitisha Taarifa Hizo.
Inna lillahi wa inna ilayhi rajiuun.
Mungu amsamehe dhambi zake na amfanyie wepesi katika kaburi lake.
 
Back
Top Bottom