Mzee wa miaka 60 Hataki kukubali kwamba kazeeka mwili mpaka akili

Habari wanajamvi natumaini mpo salama japo mnapigwa mbele na nyuma Kwa Kodi na Tozo zisizo na kichwa Wala miguu!

Husika na kichwa Cha habari hapo juu
Yaani Kuna mambo yanatia wazimu na hasira Sana unakuta zee Zima limetimiza miaka 60
Lina watoto wasiopungua 20
Ujana wake wote alishindwa
Kujijenga Kama taasisi inayofanya mambo kiuweledi mbaka akashindwa kutunza watoto japo wapate Elimu Bora itakayowawezesha mbeleni kujiendesha Kwa ufanisi,
Matokeo yake mbaka anazeeka yupo yupo tu hajitambui.

Haiwezekani miaka 60 ya uhuru CCM mmefeli pakubwa Sana kuliongoza taifa kiuweledi,ikawashinda hata kutengeneza misingi Bora Kwa kwa kua na katiba Bora ambayo ingetufaa Leo hii watoto na wajukuu zenu,

Mimi naamini nafasi mlikua nayo Tena kubwa ya kufanya mabadiliko mapema Leo hii tungekua tuanaongea mengine ila Kwa sababu ya ubinafsi,tamaa na uroho wa madaraka mkawa vipofu wa macho mbaka fikra mkijiwazia matumbo yenu mbele kuliko maslahi ya wengi katika taifa hili tulilobarikiwa Kila Aina ya rasilimali ikiwemo madini Aina zote,ardhi nzuri,vyanzo vya maji vya uhakika ikiwemo mito,maziwa na bahari,Gas,vivutio vya utalii chungu nzima lakini Bado tukafeli pakubwa!

Kinacho niuma zaidi ni sera zenu mfu,nikiwa Kama kijana niliyezaliwa kwenye familia ya wakulima wadogo wadogo yaani ni kweli mlifeli kabisa kuwasaidia wale wananchi wa vijijini wakatoka kwenye ule umaskini uliotopea kweli jamani miaka 60
Mmekosa mbinu mbadala?
Aiseeee!aiseeee!aiseeee!

Mnatufanya Mbaka sisi watoto na wajukuu zenu tukose muelekeo wa maisha,Leo Kila mmoja anajipigania mwenyewe na maisha yake no government surport ila Sasa maajabu yake
Kijana akipambana akatoboa ndio utaona mizee mizima iliyofeli ikija kukukandamiza Kwa Kodi kubwa na hapo wanakufanyia figusu ila mradi utoe kitu kwao ndio wakuunganishe na mfumo nje ya hapo utapigwa zengwe la uhujumu uchumi,wakati muda unapambana kujikwamua wanakuchora tu!

Ninayo mengi Sana moyoni yanayonitatiza ila kiukweli CCM ni chama kilichochoka akili mbaka fikra mnatuburuza tu Kwa mistake zenu za ujanani ila hamna mipango kabisa mshakua useless

Anyway hili povu lote ni baada ya kunikata tozo ya jengo niliponunua umeme wa 5000
Eti wakidai ni Kodi ya jengo wakati tulishalipia na ya mwaka mzima na risiti tunayo

Sasa hiyo wanayokata inaenda kulipia jengo Gani?
Au lile jeupe pale magogoni na chamwino maana inashangaza Sana
Hizo tozo zilipata baraka na Spika Ndugai na bunge lake mimi nadhani ni Kodi za jengo la bunge!

NB Kuna mijitu najua itakuja kusema lipa Kodi Kwa maendeleo ya nchi na Mimi nasemaje
tulishalipia na lisiti tunazo
Hiyo ya Sasa ni double taxation za wakoloni!

Povu ruksa ndugu Mwigulu Nchemba!

Uyo sio mzee sasa mnamuonea
 
Uyo sio mzee sasa mnamuonea
Huyo ni matunda ya wazee waliofeli sababu amezaliwa nchi ndio inapata uhuru na Muungano hata yeye ameathiriwa na mfumo wa Hawa wazee akienda tofauti utaona wanavyopiga kelele Kama za mbwa Koko sababu walishazoea kuiendesha nchi kimazoea!
 
Baba wa wote unataka nifanyaje wakati nyie wazee mmekaba faulu mpaka penati?
Kinachonitia wazimu ni Ile hamkua na long plan katika kuiendesha nchi mlijipigania wenyewe tu bila kuweka njia ya future generations ndio maana Leo unaona tunayumba hatuna mwelekeo huku nyie mkila mema ya nchi
Mara ngapi mnasema tujiajiri wakati nyie Mali mlipata Kwa kuajiriwa?
Mwanangu uwe na subira. Ukifika miaka hiiyo utakuwa unakula bata pia. Kwani tutakuwa tumeishaondoka na kukuachia vile tulivochuma. Mie nilijitahidi kuwaachia wanangu elimu. Mengine watajua wenyewe. Hivyo, usikonde mwanangu kitaeleweka siku moja. Hata sisi tulianzia pakanga kama nyinyi tena chini ya nkoloni.
 
Back
Top Bottom