Mzee wa 'Mama Tanzania' yupo kimya sana tangu uishe uchaguzi!

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,865
5,683
Yu wapi huyu mwamba au amestaafu?

Siwezi kusahau miaka flani ya 2011 au 2012 alivyochambua vizuri mapungufu ya vitabu flani vilivyoingizwa mashuleni. Ilikuwa njema sana. Kwa sasa nilitegemea nisikie kitu kutoka kwake.
 
Anakula maisha tu kumbuka ana mpunga mrefu wa kustaafu u bunge so ana tuangalia tunavyo pambana.
 
Mzee wa dizasitaa menejimenti!!unajua kwa sasa ile nchi ya porto rico, bwana, akili zote ziko mikononi mwa bwana yule, sasa ukitoka hadharani na kutumia elimu yako kumpinga, jua, unatafuta shida!

Kwa sasa bora umtukane MUNGU, hutaona hata kiongozi wa dini anakushambulia kuwa umefanya kosa ila mkosoe bwana yule, hutajua hata hao viongozi wametoka wapi, JAJI, mzima kutwa nzima amevaa mask, ila anapokwenda kuonana naye, anaficha mask mfukoni!!hahaaa, ila daaa, historia itabaki!
 
Mzee wa dizasitaa menejimenti!!unajua kwa sasa ile nchi ya porto rico, bwana, akili zote ziko mikononi mwa bwana yule, sasa ukitoka hadharani na kutumia elimu yako kumpinga, jua , unatafuta shida!!kwa sasa bora umtukane MUNGU, hutaona hata kiongozi wa dini anakushambulia kuwa umefanya kosa!!ila mkosoe bwana yule, hutajua hata hao viongozi wametoka wapi, JAJI, mzima kutwa nzima amevaa mask, ila anapokwenda kuonana naye, anaficha mask mfukoni!!hahaaa, ila daaa, historia itabaki!!
loh!!!
 
Kanzu aliyopigwa bado anautafuta mpira
Alipigwa kitu kama hiki
IMG_20210221_233426.jpg
 
Back
Top Bottom