fundiaminy
JF-Expert Member
- Jun 4, 2009
- 355
- 51
Mzee mmoja wa kiswahili alikuwa amezoea sana kujifunga kikoi bila kuvaa chupi.Bas mwanawe aliamua kumnunulia chupi tatu za rangi nyeupe nyekundu na ya kijani.mzee aliamua kuvaa nyeupe na mida ya mchana alienda kuoga na kuisahau kwa bafu kwa kuwa haikuwa mazoea yake kuvaa chupi.Alipotoka kuoga mzee akaelekea kijiweni kucheza drafu na wazee wenzake.kwa bahati mbaya mzee alikaa dizain mbaya na bidhaa nyeti zikawa nje.wenzake wakaanza kumcheka na aliposh2kia akawaambia mnacheka hii nyeupe nyumbani nina ya kijani na nyekundu sandukuni.wazee wenzake ndio wakazidi kuwa hoi kwa kicheko.dah mzee kushtukia kuwa hakuwa amevaa kitu ilibidi ahepe fasta na kijiweni hakurudi mwezi mzima.