Mzee wa kiswahili

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
Mzee mmoja wa kiswahili alikuwa amezoea sana kujifunga kikoi bila kuvaa chupi.Bas mwanawe aliamua kumnunulia chupi tatu za rangi nyeupe nyekundu na ya kijani.mzee aliamua kuvaa nyeupe na mida ya mchana alienda kuoga na kuisahau kwa bafu kwa kuwa haikuwa mazoea yake kuvaa chupi.Alipotoka kuoga mzee akaelekea kijiweni kucheza drafu na wazee wenzake.kwa bahati mbaya mzee alikaa dizain mbaya na bidhaa nyeti zikawa nje.wenzake wakaanza kumcheka na aliposh2kia akawaambia mnacheka hii nyeupe nyumbani nina ya kijani na nyekundu sandukuni.wazee wenzake ndio wakazidi kuwa hoi kwa kicheko.dah mzee kushtukia kuwa hakuwa amevaa kitu ilibidi ahepe fasta na kijiweni hakurudi mwezi mzima.
 
Unafikiri kwa ku2mia nini? Ama umeishiwa na mawazo. Ama ndiyo 2sema umeishia hapo. POLE SANA DOGO! Mawazo ya kitoto kabisa!
 
Unafikiri kwa ku2mia nini? Ama umeishiwa na mawazo. Ama ndiyo 2sema umeishia hapo. POLE SANA DOGO! Mawazo ya kitoto kabisa!
<br />
<br />

kumbe ilikuwa ni wewe? Skujua mzee.kesho vaa chupi na usikae kiholela.ha ha ha ha ha ha.
 
jamani hili mbona ni jukwaa la utani na sio la siasa.kama ukikipenda cheka hukukipenda kipotezee tu hiko kichekesho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom