Manoah ulikuja lini huku?
Namshukuru mungu kwa kunitangulia na kunifikisha Arusha Salama.
CC Arusha wing am in your town for 3 days .
CC Dar nishaondoka huko, thanks to the rain maana jua joto si kulieksipirience sana.
nimeingia jioni hii na nina sepa kesho mkuu! ndio maana nimepiga kimya kimya
ina maana shem ulikuja bila kunitonya?
ah ah! Shemeji yangu dharula tu ndio imenifikisha hapa, mwisho wa mwezi ndio nitakuja huko tena ujiandae tutaenda na kupanda mlima kilimanjaro au unaonaje?
aakhaa!cha kunilegeza nati za miguu
mtoto wa mwenzio,mi kupanda mlima siendi!
karibu sana mi nipo nakaribia kutanga jamhuri ya Dar wing
sasa unataka twende wapi?
Nipo shivers hapa. Karibu.
mbuga za wanyama
tutembee ndani ya gari lolz!