Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,308
- 4,209
Mzee wa dungu jeshi shavu kilema mwenye ngebe, nyodo, madharau, majigambo na majivuno katinga bongo jana na mkwara mbuzi wa mabodyguard uchwarwa.
Kayngay huyo mwenye makazi yake uingereza na maarufu kwa kuuza bidhaa chakavu alitinga bongo na ethiopia airlines ambapo alisafiri pekee yake kwenye first class nakututambia kwenye mitandao ya kijamii.
Mbeleni hakuwa na mabodyguard lakini baada ya kukoswakoswa kutembelewa na kusalimiwa akaamua kuchukua tahadhari.
Wanoko wanadai mnada huu anaoenda kuufanya utafanyika kwa haraka sana ili amalize kabla ya tarehe 9 December.
King Kong III