Mzee wa Dungu Jeshi katinga bongo na bodyguards

Mzee wa Dungu Jeshi katinga bongo na bodyguards

Tapeli, vitu vibovu kufa!
Atakayenunuwa tunampa pole...
Lijinga kabisa hili...
Raia tumewaonya VIKALI...
 
Kesho kuna mnada pale KC sijui Bunju anauza vitu vya bei rahisi, mara ooh lapitopi 50,000 mpaka 100,000
JBL mziki mnene 50k
Simu bei 5k
AMbaye aliwahi kununua vitu kwake atupe mrejesho
Natoa mrejesho jamaa vitu vyake sio vibovu ni vizima Kabisa
 
Oya umetumia omo ya bei gani mbona povu jingi sana??!
1768638064423.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom