Mzee wa busara nyimbo yangu bora ya muda wote

Mzee wa busara nyimbo yangu bora ya muda wote

Juma eeh mwambie mama
Aingize watoto ndani mapema
Mzee wa busara kakorofishana na kina John mjema
Yaani ni hofu hofu mtaani
Sijui kwa nini huyu mzee ana roho ya kwakere
 
cac5ecb3dfbf499a4334794abdef3729.jpg

Juma Nature kwangu ndio G.O.A.T halisi sijawahi kuacha kumsikiliza siwezi kukosa nyimbo zako kwenye music device yangu,zile bangi walikua wanavuta na P Funk zilikua na faida sana joints ambazo walifanya zitaishi sana.
-Hili Game
-Mtoto Idd
-Kighetogheto
-Biashara ya Utumwa
-Mzee wa Busara
-Ya leo Kali
-Jinsi Kijana
-Kisa Demu
-Sitaki Demu
-Ah Wapi
-Buriani
-Inaniuma sana
-Msela
Duh just to mention few,kuna kiazi alipita na collection yangu ya Nature nilimsaka kama kaniibia mke [emoji23][emoji23]
 
Mkuu hata mimi nyinbo yangu bora ongeza na
Si ulinikaata ya solo thang ft qchief
Aseme - qchief
Yatima hadekezwi - keyman ft squeezer
Ya leo kali - wachuja nafaka
Ningeweza - ksoul ft ferouz
Kazi yake mola - madee
Yote maisha- madee
Msinitenge - prof j ft qchief
Mchanga wa macho - ay ft banana, gk & complex
Tutakukumbuka - gk ft tid
Alikufa kwa ngoma - mwana f.a ft jay dee
Mabinti damu damu - mwana f.a
Tuliza boli - mwana f.a
Mkuu kama unayo hii nyimbo yatima hadekezwi ya keyman ft squeezer itupie hapa nimeitafuta muda mrefu sana
 
Back
Top Bottom