kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,100
Ni ngoma ilitoka kwny mwanzo wa miaka ya 2000s lkn hadi leo ukiisikiliza bado ubora wake uko pale pale.....hapa nature aliumiza kichwa sijui nani alimtungia huu wimbo. Alafu kwa wakazi wa dar hiyo story ya mzee wa busara ni ya kweli au story za kufikirika?