Mzee Tryphon Maji Amefariki Dunia

Mzee Tryphon Maji Amefariki Dunia

Mwawado

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2006
Posts
993
Reaction score
265
Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi La polisi Mkoani Dar-es-Salaam Mzee Tryphon Maji amefariki Dunia.Ndg Maji amefariki Dunia leo jioni kwa saa za Tanzania,Marehemu alikuwa anasumbuliwa na Ugonjwa wa shinikizo la Damu,alifariki Dunia katika Hospitali ya Tumaini.Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwa marehemu,Mbezi Beach.

Mwenyezi Mungu amlaze Marehemu mahali pema peponi
 
Last edited by a moderator:
Mungu ailaze roho ya mrehemu mahala pema peponi. Poleni sana ndugu jamaa na marafiki
 
Poleni wafiwa!Wenye picha ya Marehemu mzee Maji tunaomba muiweke tumwone maana hili lilikuwa jina maarufu miaka ya tisini.
 
Ahhh nani atasahau enzi zile za STESHENI na ile CHAI MAHARAGE ILIYOKUWA IKIENDA masaki IKIITWA kabibiiii?

maana hata akina Alfa na CHICAGO BULLS walikuwa hawaoni ndani na akina NIKAS na ule mbasi wao ndio kabisaaa

KABIBIII ilikuwa inapita traffic za salenda briji kisa? Gari la TRYPHON MAJI!
 
Aaaah wewe nawe kwa kudondosha majina tu hujambo...mara Alfa...mara Nikas...mara sijui Bullet Train...what the hell....unapenda sana kujionyesha unajua watu wewe. Watu wenyewe hao wachovu tu
 
Inna lillah wa inna ilaihi raji'un.

May Allah make it easy for his family during this difficult time.
 
KABIBIII ilikuwa inapita traffic za salenda briji kisa? Gari la TRYPHON MAJI!

Jamani marehemu hata hajazikwa, it is disrespectful to speak the truth about the dead.

Mungu alitoa, Mungu ametwaa. Mungu kwa nini unatuchezea chezea kutoa na kuchukua? Lakini kazi yako haina makosa. Familia, ndugu na marafiki, poleni sana.

Amina.
 
May Allah make it easy for his family during this difficult time.

If he cared about the family your good Allah would not have allowed him to die in the first place, let alone need you to beg him or remind him about the difficulty the family is going thru. He would know, he's God the merciful!
 
Jamani marehemu hata hajazikwa, it is disrespectful to speak the truth about the dead.

Mungu alitoa, Mungu ametwaa. Mungu kwa nini unatuchezea chezea kutoa na kuchukua? Lakini kazi yako haina makosa. Familia, ndugu na marafiki, poleni sana.

Amina.

Wacha uzushi. Kama amefanya madudu watu wana haki ya kuongea. Nothing shall silence the truth, even death!
 
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Amen. Poleni sana wafiwa.
 
R.I.P Maji!!! Poleni wafiwa wote na majirani kuanzia masaki enzi hizo na mbezi beach kwa kumpoteza jirani mwema!!!!!!
 
Pole sana wafiwa.

Nakumbuka Mtoto wake mmoja tulikuwa kombania moja naye pale JKT alifariki kwa kuungua kwa moto.
 
R.I.P Mzee Tryphone Maji

Tangulia Kamanda, wapiganaji tuko nyuma yako na mola akuweke mahala pema peponi, Amen!
 
R.I.P Kamanda Maji.

Hii ni kutukumbusha sote kuwa kadr tupatavyo umri ndivyo hivyohivyo twaukaribia umauti wetu. Tujiandae kimwili na kiroho.

Poleni wafiwa.
 
Back
Top Bottom