Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
hii mpya, tena kali sana!... Ulitaka tumfahamu kupitia simulizi (oral tradition)? Huyu mzee hayupo kwenye vitabu, hata vinavyouzwa kwenye bookshop bwana. Unataka tukamtafute kwenye nyaraka za serikali?... Si kioja hiki?!!!...
Wewe eleza tujue tu tumepoteza mtanzania mwenzetu na mzee wetu.. Habari za historia mzee huyu hajawa recorded na history yake kuwa wazi kwa wote.
Hii mpya, tena kali sana!... Ulitaka tumfahamu kupitia simulizi (oral tradition)? Huyu mzee hayupo kwenye vitabu, hata vinavyouzwa kwenye bookshop BWANA. Unataka tukamtafute kwenye nyaraka za serikali?... Si kioja hiki?!!!...
Wewe eleza tujue tu tumepoteza mtanzania mwenzetu na mzee wetu.. Habari za historia mzee huyu hajawa recorded na history yake kuwa wazi kwa wote.
we kweli kilaza!
Hujui kuwa Oral tradition ni miongon mwa source za historical info, pamoja na archives, museums,etc?
Huwezi tenganisha mzee huyu na history ya nchi hii, hasa utumishi wa umma. Km humfaham, we kilaza tu!
RIP MZEE Apiyo Msalimu sana mtakatifu julius Nyerere mwambie ccm imegeuka kuwa chama cha matajiri na mafisadi.. Kimegeuka kuwa si cha wanyonge tena...
RIP Mzee Apiyo. Hawa ndio watu waliofanya kazi kwa uaminifu wa hali ya juu katika nchi hii. Mwalimu Nyerere alikuwa anamuamini sana Mzee huyu. Kwa sasa kuwapata watu kama Mzee Apiyo, ni ndoto.
Tiba
The Boss, hicho ni kipindi cha nyuma sana. Serikali miaka mingi imempatia gari na msaidizi wa kudumu na kumsaidia katika matibabu. Hata gharama za matibabu ni serikali imekuwa ikimpatia. Last year or so alipewa gari nyingine mpya Discovery 4.
Kama mapungufu yapo ni ya kawaida.
Hili nalo neno, kwani hakulipwa stahili zake?Sasa kama alistahafu, na mafao yake akapewa...nini kingine alichokuwa anakitaka Mgosingwa huyu?
Polen wafiwa...mtoa taarifa samahani, huyu mzee ndo baba yake na Clay Jackson! Clay is my olevel mate.