Singidan
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 880
- 937
Mzee safiri tena basi kwenda nje ya nchi ili mvua inyeshe. Mzee ukamee umezidi, nenda basi hata China ukaangalia mashamba ya vitunguu! Maana daah, nakumbuka ulivyosafiri kwenda nje ya nchi, huku mvua ilinyesha karibia nchi nzima. Daah! Fanya hima Mh ukame umezidi...