Kwamba maendeleo huletwa na mfumo wa ujamaa au ubepari?. kwamba huwezi kuendelea ukiwa Mjamaa au huwezi kuendelea ukiwa Bepari?. au nini haswa tafsiri ya maendeleo uliyonayo kichwani? maana mimi ninatizama maendeleo kwa mlengo tofauti.Nyerere alikuwa na akili ila akishindwa kutumia akili zake kipindi cha mwisho kuwa na maono juu ya uelekeo wa dunia kutoka ujamaa kwenda ubepari. Kiburi chake ndio kimesababisha hadi sasa tupo nyuma kimaendeleo.
Ipo haja ya kuandaa uzi watu wafahamu makubwa aliyoacha MwinyiWatoto wa generation hii hamuwezi kujua mchango wa Mzee Mwinyi katika nchi ya Tanzania, Sisi ndio tunajua, chuki zako dhidi ya rais wa sasa usizitumie kumchafua mzee wetu,
Kaa na wazazi wake wakupe historia ya nchi yako vizuri.
Kila kifo kina sababu. Cha muhimu ni kukumbuka tu kwamba kila mmoja atakufa.Swali , jee inawezekana Marehemu Mzee Mkapa sababu ya kifo chake inaweza kuwa ni STRESS, iliyofanya immunity yake kwenda chini.
kweli mkuu, inasikitisha sana rais aliyeibadili taswira ya tanzania leo vitoto vinambeza hivi...Ipo haja ya kuandaa uzi watu wafahamu makubwa aliyoacha Mwinyi
Lbda baba mleziUliona wapi mtu kuwa na baba wawili?
Mwalimu Nyerere ni baba wa Taifa mnataka na nyongeza ya baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Stres i llni tatizo kubwa sana but kwa nchi zetu hz tunachukulia poa tuSwali , jee inawezekana Marehemu Mzee Mkapa sababu ya kifo chake inaweza kuwa ni STRESS, iliyofanya immunity yake kwenda chini.
Wewe ni wa imani ipi? maana kwenye vitabu vyetu huku imeandikwa "Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako".....KUT. 20:12Unafahamu kwamba inasemekana kuna vikongwe wachawi kupindukia?
Kiimani Wakati mwingine binadamu tunapewa nafasi ya kuishi miaka mingi ili tupate nafasi ya kuacha maovu na kutubu.
Please, nisiwekewe maneno kwamba namuongelea mzee mwinyi. Nimekujibu tu ishu ya kuishi miaka mingi.
WEWE NI MTANZANIA? ULIFUATILIA HOTUBA YA HUYO MZEE JUZI KWENYE MKUTANO WA CCM DODOMA KUMCHAGUA RAIS WA ZANZIBAR NA KUMPITISHA M JIWE KUWA MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM? KAMA HUJUI JAMBO USIJIDHALILISHE HADHARANI.
Nilishajibu hili swali, mkuu Sentensi yangu imeanza na neno wakati mwingine. Kila kitu kina exceptions, vipi kuhusu watoto wachanga wanaofariki? Hawajawaheshimu wazazi?Wewe ni wa imani ipi? maana kwenye vitabu vyetu huku imeandikwa "Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako".....KUT. 20:12
Ni sahihi kabisaIpo haja ya kuandaa uzi watu wafahamu makubwa aliyoacha Mwinyi
NA MIMI NAKUULIZA ULIFUATILIA HOTUBA YAKE HIYO NILIYOISEMA? KAMA ULIFUATILIA NIAMBIE ALISEMA NINI NA HICHO ALICHOSEMA WEWE UNAKIELEWAJE? SITAKI POROJO JIBU SWALI ILI NA MIMI NIKUJIBU.Hivi wewe unajua kiswahili vizuri??
NI LINI NA WAPI RAIS MSTASFU ALLY HASSAN MWINYI ALISEMA KATIBA IVUNJWE ILI MAGU AENDELEE KUONGOZA BAADA YA MIAKA KUMI YA KIKATIBA??
👆🏻Hilo ndilo swali langu, kumbuka maneno ya msisitizo ni haya; "KATIBA IVUNJWE".
Sitaki porojo hapa, jibu swali.
Msifuatilie mambo kwa mihemuko yenu ya kisiasa.
NA MIMI NAKUULIZA ULIFUATILIA HOTUBA YAKE HIYO NILIYOISEMA? KAMA ULIFUATILIA NIAMBIE ALISEMA NINI NA HICHO ALICHOSEMA WEWE UNAKIELEWAJE? SITAKI POROJO JIBU SWALI ILI NA MIMI NIKUJIBU.
Tatizo ni pale ukijifanya uko upande wa jiwe, utachukiwa na watanzania wote, refer BashiteMuacheni mzee wa wetu atuchekeshe wajukuu zake. Aliwakuta baba/babu zetu wanavaa likundou,kaniki na viatu vya mairi ya gari,wanapanga foleni ya sukari,sabuni na mafuta ya taa,TV alikuwa nayo Nyerere tu pale Ikulu. Akatufanya tujue duniani watu wanaishije ili na sisi tuishi kama wao.
Kwa mantiki hiyo, hiyo kama Nyerere angekuwepo enzi zile Mama Mkapa alipoanzisha na kuendesha NGO yake binafsi iitwayo EOTF akiwa ikulu angemshushia makombora ya maneno???Nakumbuka enzi zake, mke wake aliifanya ikulu kuwa ofisi ya wapiga deal, mpaka Nyerere akasema
Matanga katika ubora wako, 1.5 trkila mtu anahaki kutoa maoni yake alimradi hajavunja Sheria. Actually hatamm ninaunga mkono MAGU kuongezewa muda maana amefanya vitu vyakipekee Hakuna rais alowahi kufanya:
- kujenga reli
- kusafisha Ccm
- kujenga ikulu na makao makuu dodoma
- kuishinda vita ya corona majirani wakihaha
- kununua mindege ndani yamuda mfupi
- kutoa haki ya elimu (elimu bila malipo)
- kuzuia wizi wa madini
- kujenga Nyerere dam
- kukomesha mgawo wa umeme na kuusambaza spidi
achilia mbali yale ya kawaida Kama barabara, maji, vituo vya afya nk.
Nchi nyingine zimewahi kuwaongezea muda marais mahiri mf. Urusi, china nk.
tuache upumbafu wakudhani wengine hawastaili kutoa maoni Mwinyi anajua vyema ugumu wakazi ya urais kuliko majinga kadhaa yanayong'ang'ana kuingia ikulu na ujuzi sifuri walionao
Kwahiyo unatamani aje amtandike tena?Mwinyi huyu anayejikomba kwa Jiwe ?
Kuna dogo aliwahi kumtandika Kofi mzee Mwinyi yule dogo alikuwa sahihi sana
Wewe utakuwa matanga tu, so nikisema katiba ibadilishwe/Iruhusu Jiwe abaki madarakani then mtu akasema nimesama katiba ivunjwe wewe hapo utapinga kuwa sijasema hivyo kwa sababu tu msemaji katumia neno kuvunja badala ya maneno yangu,Hivi wewe unajua kiswahili vizuri??
NI LINI NA WAPI RAIS MSTASFU ALLY HASSAN MWINYI ALISEMA KATIBA IVUNJWE ILI MAGU AENDELEE KUONGOZA BAADA YA MIAKA KUMI YA KIKATIBA??
Hilo ndilo swali langu, kumbuka maneno ya msisitizo ni haya; "KATIBA IVUNJWE".
Sitaki porojo hapa, jibu swali.
Msifuatilie mambo kwa mihemuko yenu ya kisiasa.
Vile vibao labda vilimvuruga akili
Wewe utakuwa matanga tu, so nikisema katiba ibadilishwe/Iruhusu Jiwe abaki madarakani then mtu akasema nimesama katiba ivunjwe wewe hapo utapinga kuwa sijasema hivyo kwa sababu tu msemaji katumia neno kuvunja badala ya maneno yangu,