Mzee Mwanakijiji, Slaa, Makamba, JK, Magufuli : Mahaba yetu kwa Lowassa hayapungui bali yanaongezeka

RockSpider

JF-Expert Member
Feb 16, 2014
6,861
2,754
Mzee Mwanakijiji, Slaa, Mwakyembe, Sitta, Makamba et al kwa niaba ya MAFIA wa VATICAN/Economic Hit Men (EHM) wanajaribu kutuaminisha kuwa:-
1. Wanawake kujifungulia Sakafuni imesababishwa na Lowassa,

2. Watoto kusomea chini ya Miti imesababishwa na Lowassa,

3. Watumishi kulipwa mishahara ya Hadaa imesababishwa na Lowassa,

4. Twiga kupandishwa kwenye Ndege imesababishwa na Lowassa,

5. Wizi wa ESCROW imefanywa na Lowassa,

6. Ufisadi wa EPA umefanywa na Lowassa na siyo Mangula na Mkapa,

7. Ufisadi wa RICHMOND umefanywa na Lowassa hata baada ya kuambiwa Mhusika

8. Ujangili Uliokithiri unafanywa na Lowassa,

9. Mikataba Mobovu ya Dhahabu umefungwa naLowassa

10. Mikataba mibovu kwenye Tanzanite umefungwana Lowassa,

11. Mikataba mibovu kwenye Almasi umefungwa naLowassa,

12. Ubinafsishaji wa Bandari, ATC, Mashamba yaNAFCO, VIWANDA, NBC nk umefanywa na Lowassa,

13. Huduma duni za Afya imesababishwa naLowassa,

14. Huduma Mbovu za Elimu imesababishwa naLowassa,

15. Ukosefu wa Maji umesababishwa na Lowassa,

16. Ukosefu wa Umeme wa Uhakika umesababishwana Lowassa,

17. Gharama kubwa za Umeme Umesababishwa naLowassa,

18. Kupanda kwa Bei ya Mafuta ilhali inashuka kwenye soka la Dunia imesababishwa na Lowassa,

19. Gharama kubwa za vifurushi vya simu zamkononi imesababishwa na Lowasa,

20. Wawekezaji kutokulipa kodi imesababishwa nalowasa,

21. Rais kusaini cheque kwa dhehebu mojaimesababishwa na Lowassa,

22. Pengo et al kukataa Rasimu ya Katiba mpa imetokanana Shinikizo la lowassa,

23. Ubovu wa barabara unasababishwa na Lowassa,

24. Kugawana Nyumba za Serikali – Lowassa,

25. Mauaji ya Daudi Mwangosi yamesababishwa na lowassa na si kamuhanda et al

26. Mauaji ya Mvungi? Mgimwa,? Imran Kombe,Kolimba, Sokoine, JKN ?... LOWASSA!

27. Ukosefu wa Madawa mahospitalini – Lowassa

28. Gharama kubwa za elimu kwa watoto – lowassa

29. Nyumba za Tembe – Lowassa

30. Kufa kwa mazao ya Biashara; Kahawa, pamba,tumbaku, chai, katani – Lowassa,

31. Mkapa kujimilikisha mgodi wa Kiwira –Lowassa

32. Yusuf Makamba kutumia Bilioni 5 uchaguzi mdogo wa Tarime – Lowassa

33. Ufisadi wa Deep Green – Lowassa

34. Ufisadi wa Meremeta – Lowassa

35. Mabomu ya Arusha – Lowassa

36. Uvamizi wa vituo vya Police – Lowassa

37. Ununuzi wa Mv Dar es Salaam kifisadi –Lowassa

38. Mabehewa Fiki ya Treni – Lowassa

39. Ununuzi wa Ndege ya Rais – Lowassa

40. Mikataba 17 ya kichina – Lowassa

41. Kushamiri kwa biashara ya Sembe – Lowassa

42. Usafirishaji wa Meno ya Tembo – Lowassa ...
43. Deal la uagizaji wa Sukari, Mafuta ya mitambo ya IPTL/TANESCO..
– 1000 … list inaendelea … SISI MALOFAWAPUMBAVU TUNA SEMA: TUTAMCHUGUA LOWASSA
 
The more wanatengeneza hila na movies za kumchafua Lowassa ndiyo ambavyo Lowassa anakaribia kuingia Ikulu ..
 
Mkuu umemaliza kila kitu lakini kwa mahaba waliyonayo kina Mzee Mwanakijiji na wengine kwa nguvu ya shekeli wengine kwa mkumbo watajifanya hawaoni.

Mimi nimeshafanya maamuzi, kama NEC ingekuwa inaruhusu watu waliofanya decision tayari kupiga kura mapema hata kabla ya kampeni kwisha ningempigia Lowassa halafu nikaendelea na shughuli zangu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mafia wa Vatican ni wale wote wenye kujificha kwa Mgongo wa Kanisa katoliki huku wakitekeleza mipango yao kwa Maslahi ya nchi za Magharibi! hawa hawahusiana kwa namna yoyote ile na Imani au Waumini wa Kanisa katoliki! Same walitumia Wamisionari kama wapelelezi wao na sasa wanawatu wao wenye wadhifa mkubwa lakini wanatekeleza mission zao za kumiliki Uchumi wa Dunia! kwa jina lingine hawa watu wanaitwa EHM economic Hit Men ... Huwa wanawekwa kama mawaziri na hata Rais...In return Dola za Mabeberu huwa guarantee maisha mazuri wao na vizazi vyao! Mikataba mibovu kwenye madini na sekta zingine si bahati mbaya! Na ikitokea kuna ambaye anazuia miakataba yao Kama Lowassa alivyovunja Mkataba wa City water haraka sana huwa wanamchukulia kama Adui na wako tayari kumpoteza ... Wafuatie kwa ukaribu hawa EHM ambao ni ndugu zetu utaona kuwa Familia zao karibu wote wako USA ...
mkuu kabla hatujaendelea naomba kwanza kuwajua hao manfia wa Vatican na ushiriki wao kwenye hili
 
Mkuu umemaliza kila kitu lakini kwa mahaba waliyonayo kina Mzee Mwanakijiji na wengine kwa nguvu ya shekeli wengine kwa mkumbo watajifanya hawaoni.

Mimi nimeshafanya maamuzi, kama NEC ingekuwa inaruhusu watu waliofanya decision tayari kupiga kura mapema hata kabla ya kampeni kwisha ningempigia Lowassa halafu nikaendelea na shughuli zangu.
Mkuu umeandika maneno ya maana sana aisee,asilimia 70 ya watanzania wameshaamua wanampigia kura Lowassa. Hizi kampeni na propaganda za kina Dr Mihogo na mabosi wake wa CCM haziwezi kuwabadisha tena.Rais ni Lowassa.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha

avatar27514_6.gif
 
Kabisa.
Mzee Mwanakijiji tunakuheshimu sana hapa jamvini, lakini hata ulete hoja zipi kumhusu, tumeshaamua tunamtaka huyuhuyu Lowassa, hata kama ni mgonjwa, huyu huyu ndie wetu.
 
Mwanakijiji et al Ilani ya ccm ya 2005-2015 hajatekelezwa-net group problem/solution,Kagoda etc
1.Maisha bora kwa kila mtanzania
2.Mahakama ya kadhi
3.kufuta sheria kandamizi
 
Back
Top Bottom