ukirudi salama huko sijui!
Mkuu kumbe na wewe ni mshirika wa Katibu mkuu! Maskini Ndovu wetu!
Nakufuata huko huko..Upo na mama Ngina ??
wewe muongo,Mama Ngina yuko busy na kuhesabu kura za Odinga kule kwao Kenya, anadai wanamchakachua Odinga
wewe muongo,
mama ngina nimemuacha home analea, huku hawezi kuja, kuna wanyama wakali.....
niko na wadada wawli ma-trainee wa mambo ya uranium kutoka wizara ya nishati na madini... nawafundisha kazi....