Mzee Mtambuzi in MWANZA...!

Ukiamka charminglady nipe skype # yako tuzoze tukionana. Nishajinywea viroba na banana nikachanganya bia eagle niko zip.

Nishaamka King Mswati.... Ila najaribu kutuma skype yangu inagoma kha!!! Kwani unatumia TECHNO au NOLKA?????
 
Last edited by a moderator:
he he he he..kule alikotuhumiwa kuleee..uku nimekuja na picha ya toka kule kule..
yapi yalomkuta?...mbona hapa kuna taarifa tu ya ujio wake huku Mwanza...

Au ndio waleta mambo ya kutema mate kushoto, halafu wafukia kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…