mtafutie mbaby wa kisukuma hapoKaribu sana Mwanza..
Halafu wewe mwafulani, mbona una kero hivi...shikamoo mzee Mtambuzi
Ndio nimetua Mwanza hivi punde....
Nimepokelewa na charminglady na @C6, watu wa Mwanza ni wakarimu sana, nipo hapa Hoteli ya JB Belmont nimejipumzisha kabla ya kuianza siku na vikao lukuki, jioni, nitakutana na wana JF wa Mwanza kwa ajili ya kubadilishana uzoefu halafu tuna Party kidogo kwa mwendo wa LEO TUPO HAPA PUB.....LOL
Copy to: Mamndenyi, Paloma, Madame B, madam Z, Mrembo by Nature, King'asti, Elizabeth Dominic, BADILI TABIA, Chauro, Smile, Kipaji Halisi, gfsonwin, cacico, MadameX, Lisa, snowhite, Nivea, ladyfurahia, Nicas Mtei, Mwita Maranya, Jeska, amu, Kaizer, KakaKiiza, Fidel80, Swts, mwaJ
Baba Ngina hivi unakumbuka ile tarehe 23/3 au ulikuwa unanisanifu.
Tena usisahau kuniletea mapanki.
Sasa umeondoka peke??au................na yule mtoto unayemshikia pochi wakati wa leo tupo hapa pub?
CC Zion Daughter
Madame B
gfsonwin
FirstLady1 Paloma