Mzee Mhina hatuko naye tena

Mzee Mhina hatuko naye tena

Safari yetu wote hiyo, yeye katangulia. Apumzike salama.
 
Mahali pema ni pa watakatifu pekee! ukiwa ccm umejitenga na utakatifu, mzee wetu apumzike kwa amani na mungu ampe stahiki yake sawa sawa na mapenzi yake, namaanisha mapenzi ya mungu

Ndugu unajuaje dakika za mwisho za maisha yake alitengenezaje na Mungu wake?


R.I.P. Na Faraja iwe kwa familia.
 
Kafia kwake,kunaitwa Mivumoni(?) mbele ya Madale kwa Kawawa nasikia alihamia huko kwenye nyumba yake mpya miezi miwili iliyopita,Mungu amurehemu mzee wa watu

Basi kama ni hivyo atakuwa karogwa tu. Waswahili bwana kwa wivu.
 
Back
Top Bottom