jamani wadau huyu mzee mfugale ni mkandamizaji vibaya kuna wafanya kazi wamefanya wamefanya kazi peacock hotel zaidi ya miaka kumi lkn juzi gafla kaja na mikatba mipya et wafanyakazi wote wa saini contract kwamba wapo kwenye probation period,staff wengi waligoma kusaini basi akasema ambae hata saini kazi basi,vijna wengi wameacha kazi na hawajui cha kufanya,heu wadau tujaribu kuangalia nini cha kufanya coz wengine wapo mtaani kwangu