Mzee mfugale na peacock hotel

Mzee mfugale na peacock hotel

Ninachojua mimi biashara ya hotel hailipi sana hapa mjini ni pasua kichwa ukienda pale pickock town au pale Millenium utasema hakuna bishara unakuta gharama za uendesheji zipo juu sana kuliko wateja.
 
Waende kujifunza kama kwenye viwanda vya Soda kulikuwa na Kiwanda cha soda cha fahari ujinga wa kilipa watu wakawa wanaweka viwembe kwenye soda mara Ndom vituko hadi kiwanda kikafungwa wakawa wamekosa wote.... Dawa ya Matajiri kama hawa wanyonyaji wakiwafanyia Jeuri na nyie wafanyieni Kusudi.....
 
Waambie waende wafungue mgogoro wa kazi pale CMA (TUME YA UAMUZI NA USURUHISHI) wafanye hivyo ndani ya siku 30 toka walipoacha na wafungue mgogoro wa mwajiri kutengeneza mazingira ya kuacha kazi yaani constructive termination
 
Kazi zilvyo ngumu tumikia kafiri upate mradi wako.
Siku nyingine waambie hao jamaa waanzishe hoteli zao, hata kama ni mama ntilie ili wajue changamoto zilizopo.

Wewe na nawe ni hamnazo kupita kiasi. Inaonekana wewe unatetea walionacho na kudharau wasio kuwa nacho!!! Kumbuka na wewe Nape akiondoka madarakani utakuwa huna pa kushika. Anyway wahi Lumumba ukachukue book zako mbili leo tayari umetimiza wajibu kwa kuchangia JF!!!! Unatetea kunyanyaswa kwa Watanzania wenzako bila kujali kama mnyasasaji ni Mtanzania mwenzetu au mgeni? Njaa ni mbaya sana!!!

Tiba

Tiba
 
Mfugale maana yake nini?
Huyu si aling'ang'aniaga eneo la chuo cha Ruco Iringa na amejenga Hotel kubwa?
Kweli tunahitaji mabadiliko nchi hii,mtawala yoyote asiwe na uhakika wa kutawala milele kama walivyo hawa mafisadi.
Poleni sana...mtafuteni mwana sheria japo nawasiwasi atamfisadi pia.
 
Huyu mzee hafai akiona staff amenunua gari tu anaanza maneno mpaka anamfukuza bila kujua kuna staff wana miradi yao,pia ni bingwa wa kukwepa kodi kwa style yake ya peacock 2,yaani data za kodi zinaandaliwa upya na special staff kwa ajili hyo tu,
 
Sasa waliachaje kazi huku wakiwa hajajipanga na kujua watafanya niji baada ya kuacha kazi?

Tatizo kubwa sana tulilokuwa nalo hapa nchini siku hizi ni kuwalinda waajili wa sekta binafsi na kuwakandamiza waajiliwa!! Sheria za nchi zinahitaji wafanyakazi kama wa hapo Peacock wawe wamejiunga na chama cha wafanyakazi [TASIU] ambacho kitawatetea kuhusu maslahi yao; kwa bahati mbaya sheria hizi za haki ya wafanyakazi kuwa na chama sehemu za kazi zinapingwa sana na waajili na serikali haiwathibiti.
 
Wewe na nawe ni hamnazo kupita kiasi. Inaonekana wewe unatetea walionacho na kudharau wasio kuwa nacho!!! Kumbuka na wewe Nape akiondoka madarakani utakuwa huna pa kushika. Anyway wahi Lumumba ukachukue book zako mbili leo tayari umetimiza wajibu kwa kuchangia JF!!!! Unatetea kunyanyaswa kwa Watanzania wenzako bila kujali kama mnyasasaji ni Mtanzania mwenzetu au mgeni? Njaa ni mbaya sana!!!

Tiba

Tiba

Anataka aonekane kuwa yuko loyal kwa magamba! Ama kweli panahitajika ujasiri wa kiendawazimu mtu kuitetea ccm hii!
 
Wewe na nawe ni hamnazo kupita kiasi. Inaonekana wewe unatetea walionacho na kudharau wasio kuwa nacho!!! Kumbuka na wewe Nape akiondoka madarakani utakuwa huna pa kushika. Anyway wahi Lumumba ukachukue book zako mbili leo tayari umetimiza wajibu kwa kuchangia JF!!!! Unatetea kunyanyaswa kwa Watanzania wenzako bila kujali kama mnyasasaji ni Mtanzania mwenzetu au mgeni? Njaa ni mbaya sana!!!

Tiba

Tiba
Tatizo la watanzania kama hawa ni kutokuwa na moyo wa kudhubutu.Mtu anaridhika kuajiriwa na hana ndoto za kujitegemea.

Mkuu Tiba, wewe unakakilisha ugonjwa mbaya unaowaathiri wengi.
Huyo mwenye hoteli angekuwa na mawazo kama yako naye angekuwa ana lia lis tu.

Amka mkuu dunia hii ni kujitumikisha , na si kusubiri kutumikishwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom