RICH OIL SHEIKH
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 883
- 167
Kati ya hawa wachekeshaji wa2 machachari wa hapa bongo, we unaona ni nani mkali zaidi ya mwenzie?
MadameX umedhihirisha jinsi mungu alivyotuumba tofauti, sio kimaumbo na jinsia tu bali hata vionjo ni tofauti mno! ndio maana binadamu wote hatukosi wenza!Sipendi comedy zake, I dont find them funny.
Sipendi comedy zake, I dont find them funny.
Kwanini hamheshimu opinion za wengine thats what I believe and let it be it that way.
haya poa...Kama unajua viwango vya comedy, huwezi kusema Majuto ni comedian mzuri.
and your point is?