Mzee Lugemalira Mungu anakulinda!

Umasikini ukizidi ndiyo matokeo yake haya. Unawaona wenye hela ni mafisadi
Pambana upate hela.
Mahakama imemuachia huru kuwa hana kosa. Nenda mahakamani ukaanzishe kesi upya.
Masikini wanaroho mbaya sana. Ndiyo maana kuna jamaa alisema
Usimsaidie masikini acha afe
Unataka nini km mahakama pamoja na vyombo vya Habari vimetangaza hana hatia?
Wewe na mahakama nani mwenye haki?
Ndugu zangu km mnanisikia ukiona umeanza kupata hela na michongo inatiki unatakiwa uhame uswahili chap. Ni bora ukae chumba cha laki 3 kwa mwezi kuliko kukaa chumba cha 50 uswahilini.
Mkuu umasikini hauna kosa ila wivu, riho mbaya, kijicho na fitina vilivyowajaa watu wengine.
Na mwendazake yumo humo.
 
Pesa zilikuwa ni za kwake, alikuwa na uhuru nazo.
MIAKA MITANO, serikali haijaweza kuthibitisha kuwa pesa ni za serikali.
Hili swala la pesa za huyu mzee,alilimaliza Mstaafu Kikwete wakati akiwa madarakani, aliposema" pesa ile haikuwa ya serikali" kwa vyovyote vile walitaka kumtisha ili akubali bila kumfikisha mahakamani ili azitoe watawala wachukue. Wangejichanganya tu kumfikisha mahakamani Jk angekuwa shahidi wa kumalizana kesi.
 
Nakueleza hakuna watu rahisi kuwatawala kama watanzania. Si miaka 60 tu ya uhuru tupo hapa bali hata baada ya miaka 100 tutakuwa nyuma zaidi.

Yaani mtu anatetea wezi, eti na kumzingizia Mungu katika ufisadi huu kuwa naye kaubariki. Kama wewe mtanzania unaufurahia ufisadi, unategemea Mama anayetaka umaarufu wa kisiasa afanye nini? Ni kuwaachia tu wezi ili 2025 ajihakikishie kura za mafisadi na wanaowaunga mkono.
Hata ukipewa miaka 20 huo ufisadi huwezi thibitisha.
Tatizo lenu chuki, wivu na roho za korisho, mnafikiri mtu mwenye hela nyingi ni zenu wote, na mwenye hela hana haki nazo.
Mwendazake kwa miaka mitano hajaweza kujithibishia hilo.
 
Naunga mkono hoja.....hoja ipi sasa hapo ndio utaekewa watanzania wengi fuata upepo.....juzi mafisafi wote wakamaywe etc.....baada kukamatwa pohh zile pesa ni halali sio fisadi wanawaonea tu......mara kesi dpp kawapa nolle....aah sasa itakuwaje wale wengine walivuta pesa za mgao....vipi afungue kesi madai au itakuwaje.....sasa vipi ile hasara....kidi zetu zile zimechezewa!!! Naomba nipumzike kidogo ninywe maji....
 
Naunga mkono hoja.....hoja ipi sasa hapo ndio utaekewa watanzania wengi fuata upepo.....juzi mafisafi wote wakamaywe etc.....baada kukamatwa pohh zile pesa ni halali sio fisadi wanawaonea tu......mara kesi dpp kawapa nolle....aah sasa itakuwaje wale wengine walivuta pesa za mgao....vipi afungue kesi madai au itakuwaje.....sasa vipi ile hasara....kidi zetu zile zimechezewa!!! Naomba nipumzike kidogo ninywe maji....
Watu wanaenda na hisia za Rais wa "wanyonge".
 
Nenda mahakamani ukafungue kesi upya.
Mahakama imemkuta hana hatia. Sasa unataka nini?
Umasikini ukizidi ndiyo matokeo yake haya. Unamuona kila mwenye hela ni fisadi.
Pambana utafute hela. Wala haitakusaidia kwa lolote
Naomba niweke kumbukumbu sawa. Siyo mahakama iliyo muona hana hatia. Ni DPP ndiye aliye ondoa kesi mahakamani baada ya kujiamulia kwa utashi wake kutokua na NIA ya kuendelea nahii kesi.

DPP huyo ni mteule wa Rais Mpya, baada ya yule aliye teuliwa na Rais mwingine, kuondolewa kwenye hiyo nafasi na kupangiwa majukumu mengine!
 
Naomba niweke kumbukumbu sawa. Siyo mahakama iliyo muona hana hatia. Ni DPP ndiye aliye ondoa kesi mahakamani baada ya kujiamulia kwa utashi wake kutokua na NIA ya kuendelea nahii kesi.

DPP huyo ni mteule wa Rais Mpya, baada ya yule aliye teuliwa na Rais mwingine, kuondolewa kwenye hiyo nafasi na kupangiwa majukumu mengine!
DPP wa Mwendazake alisomea mwembeni sheria?
Miaka 5 ameshindwa kuendesha kesi?
Ubambikaji kesi huku umekula kiapo, inakula kwako.
 
Hii sakata la Mzee Lugemalira limenifanya nifikiri sana juu ya uwezo mkubwa wa Mungu kuweka level playing field.
Mze Lugemalira baada ya kukaa ndani miaka mitano, ametolewa bila masharti yoyote.
Kukaa gerzani ni mateso, matesoyaliyo andaliwa na binadamu.
Cha ajabu wengi wa waliokuwa madarakani na kuamuru mzee Lugemalira kuwekwa ndani na kufunguliwa mashtaka wamekwisha kutangulia mbele za Haki.

Hili fundisho viongozi wetu wasippojifunza, hawataelewa kamwe.
Tusijefikiri Lugemalira kashinda majaribu kwa uwezo wake mwenyewe, Mungu alikuwepo naye.
View attachment 1943275

Nimeupenda ujumbe huu!
Tukumbuke viongozi wote wanakula kiapo wakishika vitabu vitakatifu.
Kukiuka viapo hivyo ni hatari.
Ujumbe mzuri sana
 
Huduma muhimu ndiyo unaona leo mzee?
Hali imekuwa mbaya sana kwasasa maana serikali inategemea tozo kufanya maendeleo.
Hela ya ATCL inafanya nini?
Madini?
Utalii?
Bandari?
Ila leo tozo ndiyo inajenga vituo vya afya. Kila bidhaa imepanda sokoni kuna unafuu gani wa maisha tena?
Kuna watanzania wakiumwa inabidi wameze panadol tu maana hela za hospital hawana.
Hapana. Huduma muhimu siyo kama naona leo! Tumekuwa tunapgwa siku nyingi na mafisi-CCM
 
Naomba nijulishwe tafadhali ikitokea siku huyu Mzee akaamua kujitokeza hadharani kutaja majina ya Vigogo wote walio pokea ule mgao wa zile fedha za Escrow na kuweka maburungutu ya hizo hela kwenye mifuko ya sandarusi, na kutokomea kusikojulikana
Kwani ilikuwa kosa kuwapa aliowapa hizo hela? Hakulazimishwa, ilikuwa ni utashi wake.
 
Back
Top Bottom