Mwenyezi Mungu ndie "anaeinjinia" anguko la CCM ila kwa akili ya kibinadamu, ni vigumu kuliona hili na kulielewa mapema

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,028
144,382
Nimewahi sema humu mara nyingi sana kuwa Mungu hayuko upande wa CCM na hii ni kutokana na matendo ya baadhi ya viongozi wa chama hiki kwa miaka mingi yaliyopelekea mateso na dhiki kwa watu wasio na hatia na hivyo Mungu amewachoka na sasa kaamua kuwanyima maarifa ili utawala wa chama chao ufike mwisho.

Niliwahi sema pia,CCM wasifikiri wanapambana na wapinzani,bali wajue wanajaribu kupambana na nguvu za Mungu kupitia upinzani na ndio maana licha ya mabavu yote ya dola yanayotumika dhidi ya upinzani,wanaoharibikiwa na kuporomoka kisiasa kila siku ni CCM na kamwe si wapinzani.

Ndugu zangu, hata kwa tukio la leo huko katika msiba wa Mzee Mengi,binafsi naona ni muendelezo tu wa kuporomoka kwa CCM na inawezekana kabisa Mwenyezi Mungu ana makusudio yake katika tukio hili la leo ingawa sisi binadamu tunaweza tusilione hili na hata tukiliona,bado tunaweza tusiliewe ni kwanini limetokea na kwanini tukio hili linaweza lisiwe la mwisho

Naomba niseme tu hata hivi viburi na majivuno ya watawala na wateule wa watawala hawa, huenda pia ni mpango wa Mungu ili kupita viburi hivi,utawala wao ufike mwisho na kumbukeni hata Baba Akofu alionya kuwa Mungu atawashusha wenye viburi na labda lugha sahihi ingawa ilikuwa si rahisi kuitamka moja kwa moja pale madhabahuni ilipaswa kuwa ataishusha CCM.

Jambo moja tunalosahau wanadamu ni kuwa,katika huu ulimwengu uliodumu kwa mamilioni ya miaka,hakuna jambo jipya linalotokea leo hii bali yote yanajirudia tu na kilicho kipya katika dunia ya leo labda ni teknolojia tu na maboresha yake na hakuna kingine.

Hata wanasayansi wanagundua tu vitu vya kiasili ambavyo kiuhalisia vilikuwepo ila huko nyuma havikuwa kugundulika hivyo hata katika sayansi hakuna jipya(kuna ugunduzi mpya tu ila wa vitu visivyo vipya) bali kipya leo hii ni teknolojia tu na maboresho yake kama nilivyosema hapo mwanzoni.

Tukiridi na kuangalia baadhi ya tawala mbalimbali katika ulimwengu wa leo,ni wazi pia hakuna linalofanywa na watawala wa leo ambalo halikuwa kufanywa na baadhi ya watawala walioshi katika miaka ya nyuma au katika karne zilizopita na ambalo baadae lilipelekea anguko lao kama ilivyokuwa wakati ule wa mitume na manabii(enzi za kina Farao,n.k) na pia katika miaka ya hivi karibunui(kama ilivyokuwa kwa kina Idd Amini,Maliyamungu,Mobutu na wengineo wengi).

Vile vile hakuna ishara au dalili mpya ya anguko la watawala au chama chchote cha siasa ambaloo halikuwa kuonekana katika miaka ya nyuma au katika karne zilizopita, hivyo hata haya tunayayashuhudia leo hii(viburi,kejeli,dharau,kufukuru,n.k) ni mundelezo tu wa ya yale yaliyofanywa na kina Farao katika karne zilizopita na wakina Gaddafi na wengine wengi katika miaka ya nyuma lakini wote tunajua nini ilikuwa hatima yao.

Hata katika dunia ya leo,ukiaka kuonekana Nabii au mtu mwenye uwezo wa kuona mbali,tafsiri yanayotokea leo hii kwa kuyalinganisha na yanayofafana nayo katika historia au kwa kuyarudia maandikio matakatifu yanasema nini na hakika kila siku utaonekana kama mtu mwenye uwezo mkubwa wa kuona mbali kumbe ukweli ni kwamba katika dunia ya leo hakuna jipya bali yote ni marudio tu na mengine yameelezwa katika vitabu vitakatifu.

Hivyo, kwa hawa wa leo kama wanafikiri kwao itakuwa ni tofauti,basi wajue tu wanajidanganya ila dalili zote zinaonyesha mwisho wao na wa vyama vyao kukaa madarakani umewadia na kwamba Mungu ndio muhusika mkuu katika hili na ndio maana kawanyima maarifa ili waanguke na hakika wataanguka tu.

Mzee huyu na kiongozi wa CCM ameshasoma alama za nyakati na kuanza kukiri kuwa kuna dalili ya anguko la CCM japo si kwa maneno ya moja kwa moja.

Uzi murua kabisa..
SALUTE sana Mkuu.

Ila kwasababu mijitu mingi ya CCM ni mijinga na mipumbavu, hawawezi kuliona hili ulilolisema..

Ee Mwenyezi endelea kuwapa upofu hawa watu.. akina jingalao
Nimewahi sema humu mara nyingi sana kuwa Mungu hayuko upande wa CCM na hii ni kutokana na matendo ya baadhi ya viongozi wa chama hiki kwa miaka mingi yaliyopelekea mateso na dhiki kwa watu wasio na hatia na hivyo Mungu amewachoka na sasa kaamua kuwanyima maarifa ili utawala wa chama ufike mwisho.

Niliwahi sema pia,CCM wasifikiri wanapambana na wapinzani,bali wajue wanajaribu kupambana na nguvu za Mungu kupitia upinzani na ndio maana licha ya mabavu yote ya dola yanayotumika dhidi ya upinzani,wanaoharibikiwa na kuporomoka kisiasa kila siku ni CCM na kamwe si wapinzani.

Ndugu zangu, hata kwa tukio la leo huko katika msiba wa Mzee Mengi,binafsi naona ni muendelezo tu wa kuporomoka kwa CCM na inawezekana kabisa Mwenyezi Mungu ana makusudio yake katika tukio hili la leo ingawa sisi binadamu tunaweza tusilione hili na hata tukiliona,bado tunaweza tusiliewe ni kwanini limetokea na kwanini tukio hili linaweza lisiwe la mwisho

Naomba niseme tu hata hivi viburi na majivuno ya watawala na wateule wa watawala hawa, huenda pia ni mpango wa Mungu ili kupita viburi hivi,utawala wao ufike mwisho na kumbukeni hata Baba Akofu alionya kuwa Mungu atawashusha wenye viburi na labda lugha sahihi ingawa ilikuwa si rahisi kuitamka moja kwa moja pale madhabahuni ilipaswa kuwa ataishusha CCM.

Jambo moja tunalosahau wanadamu ni kuwa,katika huu ulimwengu uliodumu kwa mamilioni ya miaka,hakuna jambo jipya linalotokea leo hii bali yote yanajirudia tu na kilicho kipya katika dunia ya leo ni teknolojia tu na maboresha yake na hakuna kingine.

Hata wanasayansi wanagundua tu vitu vya kiasili ambavyo kiuhalisia vilikuwepo ila huko nyuma havikuwa kugundulika hivyo hata katika sayansi hakuna jipya(kuna ugunduzi mpya tu ila wa vitu visivyo vipya) bali kipya leo hii ni teknolojia tu na maboresho yake kama nilivyosema hapo mwanzoni.

Kwa mfano,hakuna linalofanywa na watawala leo hii duniani ambalo halikuwa kufanywa na watawala walioshi katika miaka ya nyuma au katika karne zilizopita na ambalo baadae lilipelekea anguko lao kama ilivyokuwa wakati ule wa mitume na manabii(enzi za kina Farao,n.k) na pia katika miaka ya hivi karibunui(kama ilivyokuwa kwa kina Idd Amini,Maliyamungu,Mobutu na wengineo wengi).

Vile vile hakuna ishara au dalili mpya ya anguko la watawala au chama cha siasa ambaloo halikuwa kuonekana katika miaka ya nyuma au katika karne zilizopita hivyo hata haya tunayayashuhudia leo hii(viburi,kejeli,dharau,kufukuru,n.k) ni mundelezo tu ya yale yalifanywa na kina Farao katika karne zilizopita na wakina Gaddafi na wengine wengi katika miaka ya nyuma lakini wote tunajua nini ilikuwa hatima yao.

Hivyo, kwa hawa wa leo kama wanafikiri kwao itakuwa ni tofauti,basi wajue tu wanajidanganya ila dalili zote zinaonyesha mwisho wao na wa vyama vyao kukaa madarakani umewadia na kwamba Mungu ndio muhusika mkuu katika hili na ndio maana kawanyima maarifa ili waanguke na hakika wataanguka tu.

na Wapumbavu wengine ili anguko la CCM litimie..Amen.
 
Hakika anguko la watawala wetu lipo njiani na linakuja kwa kasi ya kutisha.......

Hakika mwenye macho haambiwi tazama

Hakika Mungu anaonyesha utukufu wake kuwa yeye ndiye Mkuu kuliko kitu chochote hapa duniani
Ni hivi mkuu,hata yale matamshi ya kukiri udhaifu wa CCM hadharani yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa CCM pale kanisani wakati wa Ibada ya Mazishi na ambayo yanayozidi kuwaweka CCM katika wakati mgumu, yana msukumo kutoka kwa Mungu na ndio maana Bushiri alipata ujasiri wa kutamka aliyotamka ambayo bila shaka kuna watu ambao hawakupendezwa nayo na wala hawakutarajia angesema maneno yale katika ile kadamnasi tena akiwa live kupitia tv katika tukio lililokuwa linafuatiliwa na mamilioni ya watanzania.
 
"...eti atarudiii, atarudiiii,......Yesu atarudiiii......, tangu nikiwa mdogo, sasa nimekua, nimesoma ,nimeoa, na bado hajarudiiiii" Kwa sauti ya Dkt. Remmy Ongala (RIP)
 
Kwahivyo Mungu wenu alikosea akaiweka CCM madarakani na sasa mungu wenu anaangaika kuiangusha CCM... Dogma

You never know kwani imeandikwa 1 wakorintho 1:25 Maana kinachoonekana kuwa ni upumbavu wa Mungu, kina busara kuliko hekima ya binadamu; na kinachoonekana kuwa ni udhaifu wa Mungu, kina nguvu ...
 
Ccm haita anguka sema watu wanao igumia ccm vibaya ndiyo wataanguka wao ccm itabaki palepale , ila itaongozwa na watu wengine, huo ndiyo ukweli kuhusu anguko la ccm sahau emb tueleze ni kwanamna gani au jinsi gani unaweza kuiangusha ccm. Madarakani? MKUU hoja kama hizi ni hoja za kitoto saana . Sasa wewe endelea kusubiri saana anguko la ccm utazeeka.
 
Nimewahi sema humu mara nyingi sana kuwa Mungu hayuko upande wa CCM na hii ni kutokana na matendo ya baadhi ya viongozi wa chama hiki kwa miaka mingi yaliyopelekea mateso na dhiki kwa watu wasio na hatia na hivyo Mungu amewachoka na sasa kaamua kuwanyima maarifa ili utawala wa chama ufike mwisho.

Niliwahi sema pia,CCM wasifikiri wanapambana na wapinzani,bali wajue wanajaribu kupambana na nguvu za Mungu kupitia upinzani na ndio maana licha ya mabavu yote ya dola yanayotumika dhidi ya upinzani,wanaoharibikiwa na kuporomoka kisiasa kila siku ni CCM na kamwe si wapinzani.

Ndugu zangu, hata kwa tukio la leo huko katika msiba wa Mzee Mengi,binafsi naona ni muendelezo tu wa kuporomoka kwa CCM na inawezekana kabisa Mwenyezi Mungu ana makusudio yake katika tukio hili la leo ingawa sisi binadamu tunaweza tusilione hili na hata tukiliona,bado tunaweza tusiliewe ni kwanini limetokea na kwanini tukio hili linaweza lisiwe la mwisho

Naomba niseme tu hata hivi viburi na majivuno ya watawala na wateule wa watawala hawa, huenda pia ni mpango wa Mungu ili kupita viburi hivi,utawala wao ufike mwisho na kumbukeni hata Baba Akofu alionya kuwa Mungu atawashusha wenye viburi na labda lugha sahihi ingawa ilikuwa si rahisi kuitamka moja kwa moja pale madhabahuni ilipaswa kuwa ataishusha CCM.

Jambo moja tunalosahau wanadamu ni kuwa,katika huu ulimwengu uliodumu kwa mamilioni ya miaka,hakuna jambo jipya linalotokea leo hii bali yote yanajirudia tu na kilicho kipya katika dunia ya leo labda ni teknolojia tu na maboresha yake na hakuna kingine.

Hata wanasayansi wanagundua tu vitu vya kiasili ambavyo kiuhalisia vilikuwepo ila huko nyuma havikuwa kugundulika hivyo hata katika sayansi hakuna jipya(kuna ugunduzi mpya tu ila wa vitu visivyo vipya) bali kipya leo hii ni teknolojia tu na maboresho yake kama nilivyosema hapo mwanzoni.

Kwa mfano,hakuna linalofanywa na watawala leo hii duniani ambalo halikuwa kufanywa na watawala walioshi katika miaka ya nyuma au katika karne zilizopita na ambalo baadae lilipelekea anguko lao kama ilivyokuwa wakati ule wa mitume na manabii(enzi za kina Farao,n.k) na pia katika miaka ya hivi karibunui(kama ilivyokuwa kwa kina Idd Amini,Maliyamungu,Mobutu na wengineo wengi).

Vile vile hakuna ishara au dalili mpya ya anguko la watawala au chama cha siasa ambaloo halikuwa kuonekana katika miaka ya nyuma au katika karne zilizopita hivyo hata haya tunayayashuhudia leo hii(viburi,kejeli,dharau,kufukuru,n.k) ni mundelezo tu ya yale yalifanywa na kina Farao katika karne zilizopita na wakina Gaddafi na wengine wengi katika miaka ya nyuma lakini wote tunajua nini ilikuwa hatima yao.

Hivyo, kwa hawa wa leo kama wanafikiri kwao itakuwa ni tofauti,basi wajue tu wanajidanganya ila dalili zote zinaonyesha mwisho wao na wa vyama vyao kukaa madarakani umewadia na kwamba Mungu ndio muhusika mkuu katika hili na ndio maana kawanyima maarifa ili waanguke na hakika wataanguka tu.
KKKT NI RASMI TAWI LA CJAGADEMA KASKAZINI

Mmeleweka kwa hilo?
 
Acha upumbavu kumhusisha Mungu na Vitu vya kipumbavu. Usilitaje bure jina la Mungu wako. Over
 
Kwahivyo Mungu wenu alikosea akaiweka CCM madarakani na sasa mungu wenu anaangaika kuiangusha CCM... Dogma

You never know kwani imeandikwa 1 wakorintho 1:25 Maana kinachoonekana kuwa ni upumbavu wa Mungu, kina busara kuliko hekima ya binadamu; na kinachoonekana kuwa ni udhaifu wa Mungu, kina nguvu ...
Una hakika CCM hii inaendelea kukaa madarakani kwa baraka za Mungu?

Pole sana!!
 
"...eti atarudiii, atarudiiii,......Yesu atarudiiii......, tangu nikiwa mdogo, sasa nimekua, nimesoma ,nimeoa, na bado hajarudiiiii" Kwa sauti ya Dkt. Remmy Ongala (RIP)
Remmy Ongala kampa Yesu maisha yake na sasa anamsubiri arudi. Sasa na wewe MPE Yesu maisha yako tumngojee anarudi Mkuu atupeleke kwa Baba yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom