Mzee kipara afariki Dunia

R.I.P Mzee Kipara, poleni sana wafiwa
 
Masikini huyu mzee alishaomba Watanzania wamsaidie lakini Mungu ndio tena kampenda kuliko sisi! R.I.P Mzee Kipara.
 
bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.pole kwa familia na watu wote
 
R.I.P

yaani wasanii wameshindwa kusaidia maisha ya huyu mzee?


Si wasanii tu! Hata hao wana siasa. Sasa,tusubiri watakavyo kuwa wanagongana kilioni! Mheshimiwa J.K,sidhani kama atakosekana huko!!!
 
Dah Nakumbuka Mzee Mitemba ulikuwa unafurahisha sana Radio Tanzania..

Mwenyezi Mungu amuweke pahari panapostahiri
 
Jamani!nimesikitika sana,Upumzike kwa amani babu!
 
Inna Lillahi wainna ilaihi Rajihunna mzee wa Gerezani, Kariakoo.

 
Mbona kuna thread nyingine ya huyu mzee?mods tunaomba muziunganishe iwe moja
 
Mzee huyo amefariki leo jumatano
sosi,mwananch fb page
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…