Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,732
Ana Mpunga hatareeeeeHuyu mzee pesa aliyopiga pale ubungo stend inatosha kula mpaka na vitukuu vyake vikizeeka
Ana Mpunga hatareeeeeHuyu mzee pesa aliyopiga pale ubungo stend inatosha kula mpaka na vitukuu vyake vikizeeka
Don't buy this bushii t.....Mwanae Si bilionea huko SA[emoji3] anashindwaje kumsaidia baba yake
Ukweli ni kuwa Huyu dingi Ana Mpunga wa kutosha mpaka. Vijukuu vizeeke usiwaskize Hawa wanaccm tawi LA jf ni vile mzee aliwapa makavu kuwa lichama lao ni LA majiziMkuu ungetusaidia ukatuweka wazi sisi tusiomjua!!vipi ana hisa wapi na wapi!!!sema mtoto mzuri nitakuletea zawadi!!![emoji86] [emoji86]
KinjeHana Watoto ana mtoto na wala hakwenda shule kihivyo zaidi ya kuishia O Level...
dawa ya fimbo yako ipo jikoni endeleea kudanganya umma; lakini mwisho ukweli utajitenga;Wadau, amani iwe kwenu.
Kama kuna watu wanaombea Rais Magufuli alegeze kamba basi ni pamoja na Mzee Kingunge. Inadaiww kuwa hali ya kiuchumi ya mzee huyo ni mbaya kiasi cha kushindwa kumlipa dereva wake mishahara ya miezi minne hali iliyomlazimu Dereva huyo kuamua kuacha kazi.
Aidha, inadaiwa kuwa Mzee Kingunge kwa sasa hali inazidi kuwa mbaya kiasi cha kushindwa kununulia mafuta gari lake.
Kutokana na hali hiyo, mzee Kingunge kwa sasa anatumia usafiri wa Bajaji pale anapotaka kusafiri kutoka nyumbani kwake.
Hakika watu wanazidi kulimia meno.
View attachment 403797 View attachment 403797
Huyo aliye post uzi huu si ajabu hana hata buku saba ya kulipia bajajiHalafu watu wengine wanapika finyu sana..... Kwanza aliyekiment hivi unaweza kuta ananjaa mpaka utosini badae ni luxury pia
Duh maskini mzee wetu mpendwa kachapika kiasi hicho! Pole zake. Hao ndiyo chama mfu chadema yaani hata kumpatia usafiri hakuna, walimtumia kipindi kile mpaka mzee wa watu katishia amani kuvurugika ila sasa keshatupwa mbaliii.[/QUOTE
too low ...........
kingunge hajashuka hata chembe sidhani kama atawahi kushuka kwa nasubiri mida yake nimpige picha niwapeWakuu mimi simfagilii Kingunge, lakini sifurahii mtu akishuka chini kimaisha. Kuna watu wengi wanakuwa wameathirika.
Kwahiyo unamaanisha JPM ndio amefanya maisha ya watanzania yawe magumu??
makalio wanayo basi natumia kale kamta............... ntarudiANGEKUWA BADO YUPO CCM WANGEMSAPOTI ILA KWAKUWA HAYUPO UPANDE WAO WANAFIKIRIA KWA KUTUMIA MAKALIO.
UR OLD FAHHONED AU NDO UNAAMKA NA VIROBA KABLA YA KUPOST UNAANGALIA WENZAKO WASHAPOST ZAMANIIIIIIIIIIII WE NDO UNAKUJA NA KITWANGA ZAKO KICHWANI FANYA JKAZI ATA UKOO WENU MZIMA UJICHANNGISHE HAMUWEZI KUMKUTA HUYU DINGI
Mbona povu mimi na wewe nani ameamka nazo??UR OLD FAHHONED AU NDO UNAAMKA NA VIROBA KABLA YA KUPOST UNAANGALIA WENZAKO WASHAPOST ZAMANIIIIIIIIIIII WE NDO UNAKUJA NA KITWANGA ZAKO KICHWANI FANYA JKAZI ATA UKOO WENU MZIMA UJICHANNGISHE HAMUWEZI KUMKUTA HUYU DINGI
View attachment 404742
Mzee alikuwa anaimba unachukua unaweka........... pumzi imekataHuyo ndo nani?
Huyu babu naye kumbe anakuwaga na vituko
Baba'ke KinjeHuyo ndo nani?