Mzee Kingunge atumia Bajaj kama usafiri

Mzee Kingunge atumia Bajaj kama usafiri

Hahahahah Magu bana
Kingunge kila siku iendayo kwa mungu inayoitwa ya kazi... anaenda bank ya nbc pale Victoria kama sio yeye ni mke wake wakati mwingine mara 2kwa siku nyie pigeni porojo hapa mpaka mnazama makaburini hamuwezi kumfikia huyo mdingi alitumia ccm vizuri kupata mapesa ninyi hamna a wa Z mtatumiwa....kwenye malori NA kofia NA kanga..... NA kuropoka huku mtandaoni NA mtakufa NA umasikini wenu
 
Waliom frustrate na kumdanganya huyu Mzee kuwa CCM ingeanguka 2015 mpaka Akahama kundini Mwishoni kabisa Mungu anawaona!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kama kuna watu wanaombea Rais Magufuli alegeze kamba basi ni pamoja na Mzee Kingunge. Inadaiww kuwa hali ya kiuchumi ya mzee huyo ni mbaya kiasi cha kushindwa kumlipa dereva wake mishahara ya miezi minne hali iliyomlazimu Dereva huyo kuamua kuacha kazi.

Aidha, inadaiwa kuwa Mzee Kingunge kwa sasa hali inazidi kuwa mbaya kiasi cha kushindwa kununulia mafuta gari lake.

Kutokana na hali hiyo, mzee Kingunge kwa sasa anatumia usafiri wa Bajaji pale anapotaka kusafiri kutoka nyumbani kwake.

Hakika watu wanazidi kulimia meno.

View attachment 403797 View attachment 403797
Kwahiyo unamaanisha JPM ndio amefanya maisha ya watanzania yawe magumu??
 
Huyu mzee arudi kijijini akalee wa jukuu na mwenzake lowssa
 
Huyu mzee kakaa serikalini zaidi ya miaka 50 tena ndani ya chama cha ccm halafu aje afilisike ndani ya mwaka 1 wa uogozi wa Dr Mangufuli? Muwe mnashughulisha vichwa vyenu aisee! Huyu mzee networth yake anauwezo wa kukinunua chama cha ccm pamoja na mwenyeki wake!
 
Huyu mzee kakaa serikalini zaidi ya miaka 50 tena ndani ya chama cha ccm halafu aje afilisike ndani ya mwaka 1 wa uogozi wa Dr Mangufuli? Muwe mnashughulisha vichwa vyenu aisee! Huyu mzee networth yake anauwezo wa kukinunua chama cha ccm pamoja na mwenyeki wake!
Vijana wa ccm akili teketeke km mayai yasiyo wiva sawasawa[emoji85] [emoji85] [emoji85] ati kingunge afulie doh
 
mbona kawaida sana kama anatumia fedha yake ya mfukoni ....sioni tatizo
 
Back
Top Bottom