Amekuwa mpagani tangu lini?Ni yule Mzee wa kipagani
Amekuwa mpagani tangu lini?
Mkuu ungetusaidia ukatuweka wazi sisi tusiomjua!!vipi ana hisa wapi na wapi!!!sema mtoto mzuri nitakuletea zawadi!!![emoji86] [emoji86]Shenz type.....unajuwa huyu mzee analipwa bei gan kwa mwenzi mpaka sasa? Unajuwa huyu mzee ni mwanahisa wapi na wapi?
Anao mbona na watoto wake shule wamebutua balaa wengine naskia wako south africa
Wadau, amani iwe kwenu.
Kama kuna watu wanaombea Rais Magufuli alegeze kamba basi ni pamoja na Mzee Kingunge. Inadaiww kuwa hali ya kiuchumi ya mzee huyo ni mbaya kiasi cha kushindwa kumlipa dereva wake mishahara ya miezi minne hali iliyomlazimu Dereva huyo kuamua kuacha kazi.
Aidha, inadaiwa kuwa Mzee Kingunge kwa sasa hali inazidi kuwa mbaya kiasi cha kushindwa kununulia mafuta gari lake.
Kutokana na hali hiyo, mzee Kingunge kwa sasa anatumia usafiri wa Bajaji pale anapotaka kusafiri kutoka nyumbani kwake.
Hakika watu wanazidi kulimia meno.
View attachment 403797 View attachment 403797
Yuko poa kila siku Namuona Ana vx 2 hata leo nimeona ile yenye 732 any
Duh maskini mzee wetu mpendwa kachapika kiasi hicho! Pole zake. Hao ndiyo chama mfu chadema yaani hata kumpatia usafiri hakuna, walimtumia kipindi kile mpaka mzee wa watu katishia amani kuvurugika ila sasa keshatupwa mbaliii.
Kuna tofauti kati ya atheist na pagan.Toka ameanza kua na akili ya kujitambua
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] hao ndo mafisadi wa ukweliANGEKUWA BADO YUPO CCM WANGEMSAPOTI ILA KWAKUWA HAYUPO UPANDE WAO WANAFIKIRIA KWA KUTUMIA MAKALIO.
Anaisoma namba alijifanya mhuni kujalibu kina cha maji kwa miguu miwili yamemsomba.Unashanga kiongozi mstaafu kupanda bajaji
OVA
Mnajifurahisha tu .....Anaisoma namba alijifanya mhuni kujalibu kina cha maji kwa miguu miwili yamemsomba.
Hii inaitwa kupatwa kwa kingunge acha aisome namba.Anatafuta Kiki huyu mzee
Mwanae Si bilionea huko SA[emoji3] anashindwaje kumsaidia baba yake
ukawa mchangieni mshikaji wenu kama kweli mna upendo. hapo mshikamano wenu ndio utakapokuwa defined.
Hasomi namba Huyu anakula hata baba yako bibi NA babu waliyotumikishwa inaingia kwake that includes uAnaisoma namba alijifanya mhuni kujalibu kina cha maji kwa miguu miwili yamemsomba.
Jinga kabisaHii inaitwa kupatwa kwa kingunge acha aisome namba.
Mnajifurahisha tu .....
Ova
Halafu watu wengine wanapika finyu sana..... Kwanza aliyekiment hivi unaweza kuta ananjaa mpaka utosini badae ni luxury piaJamani hivi kupanda Bajaj ni kosa...inawezekana alikuwa ana haraka kwa hiyo akaamua kupanda Bajaj kukwepa foleni...Watu wengi wenye haraka na wanataka kuwahi mahali wanatumia Bajaj au bodaboda....
Wewe wacha ushabiki maandazi kesho ntapiga picha nipost hapa anaendeshwa NA Anatumia T 732 ANY NA nyiningne namba zake sijakatiri kila siku ni nbc bank ana NA Mpunga wa kutosha we unaandika toka kijiwe cha makorokoro Usiye NA nauli hata ya bajaji unaropoka eti kafilisika zubutuuu NA kinje anafanya nn mpaka mdingi wake afulie acheni store za kitotoHahahaaa!! Tamaa zmemfikisha hapa ! Akikuwa ccm alikuwa anaishi kama mfalme sasa ameisha kabisa