Mzee Kingunge atumia Bajaj kama usafiri

Mzee Kingunge atumia Bajaj kama usafiri

Waliom frustrate na kumdanganya huyu Mzee kuwa CCM ingeanguka 2015 mpaka Akahama kundini Mwishoni kabisa Mungu anawaona!
Kwa hio ukiwa ccm hali haiwi mbaya?Acha mawazo ya kitoto wewe mzee wa wawatu ana sabab nyingine kbsa za kuchukua bajaj nyie mnaongea uongo hapa
 
Big up mzee Kingunge kwa kutumia Bajaji waache hao fisiem waseme we tumia pesa yako upendanyo
 
Ata pale kwenye yale magazeti yenu ya uhuru hamjawalipa wafanyakazi mishahara miezi takribani 7.
 
Kingunge kila siku iendayo kwa mungu inayoitwa ya kazi... anaenda bank ya nbc pale Victoria kama sio yeye ni mke wake wakati mwingine mara 2kwa siku nyie pigeni porojo hapa mpaka mnazama makaburini hamuwezi kumfikia huyo mdingi alitumia ccm vizuri kupata mapesa ninyi hamna a wa Z mtatumiwa....kwenye malori NA kofia NA kanga..... NA kuropoka huku mtandaoni NA mtakufa NA umasikini wenu
bajaj nk usafiri tu,mbona makamba Jr tuliwahi kumuona kapanda hiyo kitu!pale anapokaa Ana mradi ww maji malori kwa malori yanakuja kubeba maji na kwenda kuwauzia wasio na maji lakini pia mbele ya nyumba yake kuna flem za kutosha na zote zinawapangaji....hawezi kukosa hela ya kula wala mafuta ya gari,kuna vitu mtu unafanya kwa hamu tu au kuondoa usumbufu was foleni....na bado wanae wapo vzr tu.....wanaopiga kelele hapo pengine wapo namtumbo au ikungi huko.
 
Hapa ndio unapojua dhamira za wanachama wa kijani.. Zilivyotolewa bajsji kwa ajili ya mama wajawazito zilipongezwa kweli..sasa leo.kigunge kutumia usafiri huo inaonekana haufai..sijui kipi chenye thamani..
 
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17722558 hapo na wewe umejitahiiiiiidi kuzoom na kuona hapo panafanania na china? Huoni gari ya ubungo upande wa pili? Au hao main contractor wa hilo jengo na rangazo lao la kichina limekupotosha? Hata hivyo tuache mitazamo ya kufisadi yenye kuamini baadhi ya usafiri upo kwa ajili ya daraja fulani kwenye maisha.
 
Mbona pouwah tuu

Nenda India kuna Baloz wa marekan anasafir kwa bajaj yan ndio gar yake iyo
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kama kuna watu wanaombea Rais Magufuli alegeze kamba basi ni pamoja na Mzee Kingunge. Inadaiww kuwa hali ya kiuchumi ya mzee huyo ni mbaya kiasi cha kushindwa kumlipa dereva wake mishahara ya miezi minne hali iliyomlazimu Dereva huyo kuamua kuacha kazi.

Aidha, inadaiwa kuwa Mzee Kingunge kwa sasa hali inazidi kuwa mbaya kiasi cha kushindwa kununulia mafuta gari lake.

Kutokana na hali hiyo, mzee Kingunge kwa sasa anatumia usafiri wa Bajaji pale anapotaka kusafiri kutoka nyumbani kwake.

Hakika watu wanazidi kulimia meno.

View attachment 403797 View attachment 403797
Acha story zako za kijinga wewe
 
Huyu mzee anatakiwa V8 na asikae kwenye foleni
 
Waliom frustrate na kumdanganya huyu Mzee kuwa CCM ingeanguka 2015 mpaka Akahama kundini Mwishoni kabisa Mungu anawaona!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kweli kabisa tena walaaniwe sana
 
bajaj nk usafiri tu,mbona makamba Jr tuliwahi kumuona kapanda hiyo kitu!pale anapokaa Ana mradi ww maji malori kwa malori yanakuja kubeba maji na kwenda kuwauzia wasio na maji lakini pia mbele ya nyumba yake kuna flem za kutosha na zote zinawapangaji....hawezi kukosa hela ya kula wala mafuta ya gari,kuna vitu mtu unafanya kwa hamu tu au kuondoa usumbufu was foleni....na bado wanae wapo vzr tu.....wanaopiga kelele hapo pengine wapo namtumbo au ikungi huko.

Tukisema Tembo Kakonda kweli kweli haimaanishi utamkuta Kama Mbuzi Ila itakuwa Kakonda hata kama utajaribu kumfananisha na Mbuzi ili ubishe kuwa hajakonda!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kama kuna watu wanaombea Rais Magufuli alegeze kamba basi ni pamoja na Mzee Kingunge. Inadaiww kuwa hali ya kiuchumi ya mzee huyo ni mbaya kiasi cha kushindwa kumlipa dereva wake mishahara ya miezi minne hali iliyomlazimu Dereva huyo kuamua kuacha kazi.

Aidha, inadaiwa kuwa Mzee Kingunge kwa sasa hali inazidi kuwa mbaya kiasi cha kushindwa kununulia mafuta gari lake.

Kutokana na hali hiyo, mzee Kingunge kwa sasa anatumia usafiri wa Bajaji pale anapotaka kusafiri kutoka nyumbani kwake.

Hakika watu wanazidi kulimia meno.

View attachment 403797 View attachment 403797
Una mattzo humjui kingunge sio kila jambo basi kwako ni fitna dah tibaijuka nae alipanda bajaj je pia alifulia
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kama kuna watu wanaombea Rais Magufuli alegeze kamba basi ni pamoja na Mzee Kingunge. Inadaiww kuwa hali ya kiuchumi ya mzee huyo ni mbaya kiasi cha kushindwa kumlipa dereva wake mishahara ya miezi minne hali iliyomlazimu Dereva huyo kuamua kuacha kazi.

Aidha, inadaiwa kuwa Mzee Kingunge kwa sasa hali inazidi kuwa mbaya kiasi cha kushindwa kununulia mafuta gari lake.

Kutokana na hali hiyo, mzee Kingunge kwa sasa anatumia usafiri wa Bajaji pale anapotaka kusafiri kutoka nyumbani kwake.

Hakika watu wanazidi kulimia meno.

View attachment 403797 View attachment 403797
Shenz type.....unajuwa huyu mzee analipwa bei gan kwa mwenzi mpaka sasa? Unajuwa huyu mzee ni mwanahisa wapi na wapi?
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kama kuna watu wanaombea Rais Magufuli alegeze kamba basi ni pamoja na Mzee Kingunge. Inadaiww kuwa hali ya kiuchumi ya mzee huyo ni mbaya kiasi cha kushindwa kumlipa dereva wake mishahara ya miezi minne hali iliyomlazimu Dereva huyo kuamua kuacha kazi.

Aidha, inadaiwa kuwa Mzee Kingunge kwa sasa hali inazidi kuwa mbaya kiasi cha kushindwa kununulia mafuta gari lake.

Kutokana na hali hiyo, mzee Kingunge kwa sasa anatumia usafiri wa Bajaji pale anapotaka kusafiri kutoka nyumbani kwake.

Hakika watu wanazidi kulimia meno.

View attachment 403797 View attachment 403797

Mwanae Si bilionea huko SA[emoji3] anashindwaje kumsaidia baba yake
 
Back
Top Bottom