Uchaguzi 2020 Mzee Kikwete: Watu wanasema Mama Salma kaachwa ndio sababu anahangaikia Ubunge, nasema wapuuzeni

Kutoka first lady hadi ubunge ni sawa na kutoka uchungaji na kugombea ubunge hizi Ni demotion
 
Aisee! Kuna binadamu wanakula mema ya nchi vizuri sana, kutoka kuwa 'first lady' kwa miaka 10 mpaka mbunge wa kuteuliwa na sasa anachukua Jimbo.

Kila laheri Mama Salma kwenye harakati za kutwaa jimbo.
Kwani Hillary Clinton ilikuwaje?
 
Mke wa raisi anatunzwa na kodi zetu mpaka ukamilifu wa maisha yake, ana haja gani ya kurudi kukaa vumbini kuomba kura? Mbona mama Nyerere, Mama Siti na mama Mkapa hawakurudi kuwa wabunge?
Huyu mama ana wito wa kuwatumikia wananchi ndio maana hata alipokuwa ikulu alifanya hivyo kupitia taasisi aliyoiasisi ya WAMA.
 
Huyu mama ana wito wa kuwatumikia wananchi ndio maana hata alipokuwa ikulu alifanya hivyo kupitia taasisi aliyoiasisi ya WAMA.
Naamini WAMA bado ipo, kwa nini asiegemee huko? Kama kweli anakereketwa na maendeleo ya wananchi wa nchi hii
 
Naamini WAMA bado ipo, kwa nini asiegemee huko? Kama kweli anakereketwa na maendeleo ya wananchi wa nchi hii
Hiyo WAMA ilijikita kwa wanawake tu tena ni taasisi, ila akiingia bungeni na kukabidhiwa mfuko wa jimbo ataweza kuwasaidia wananchi kwa uwepesi zaidi.
 
Kwani huko uswahilini kuachika si ni moja ya sifa ya kuwa mwanamke bora kabisa, wanaita kupanda kidato.
 
Hiyo WAMA ilijikita kwa wanawake tu tena ni taasisi, ila akiingia bungeni na kukabidhiwa mfuko wa jimbo ataweza kuwasaidia wananchi kwa uwepesi zaidi.
It makes sense, ingawa I am still not convinced!
 
Back
Top Bottom