Mzee Kikwete leo Mbagala umenena vyema kuwa miradi mingi ya awamu hii uliiasisi wewe japo wa gesi ya Mtwara hujauongelea

Bahati mbaya ni kwamba, hata nyinyi hamjawahi kuelewa kuwa mnaishi katika ndoto ambazo hazina uwezekano wa kutoea.
Kusifia kwako au kutosifia kwako hakutabaadilisha uhalisia wa mambo.
 
Nimemsikiliza JK leo Mbagala, He was at pains kumwongelea Magufuli, unamwona kabisa nafsi inamsuta, body language betraying him...sidhani kama atasimama tena kwenye Jukwaa la Kampeni.
Chadema kwa kutambiaka hamjambo
 
Bahati mbaya ni kwamba, hata nyinyi hamjawahi kuelewa kuwa mnaishi katika ndoto ambazo hazina uwezekano wa kutoea.
Kusifia kwako au kutosifia kwako hakutabaadilisha uhalisia wa mambo.
😍😍
 
Wote hao si wanasisiemu
 
Huyu si ndie JPM humnanga kila siku majukwaani kuwa serikali yake ilijaa wapiga dili?
Nimemsikiliza JK leo Mbagala, He was at pains kumwongelea Magufuli, unamwona kabisa nafsi inamsuta, body language betraying him...sidhani kama atasimama tena kwenye Jukwaa la Kampeni.
 
Kadanganye watato, mgao wa Umeme uliisha baada ya JK kumteua prof Sospeter kuwa waziri wa Nishati. Kuhusu hospital, JK alifanya maboresho makubwa ya Hospital za kikanda pamoja na kujenga Kituo cha magonjwa ya moyo pale Muhimbili + ujenzi wa hospital ya Mloganzira etc. Labda useme JPM kajenga zahati tena kwa kushirikiana na wananchi.
 
Wivu ni ugonjwa mbaya sana. JK na JPM wote ni watekelezaji wa ilani ya CCM.

Akiondoka Ngosha atakayekuja ataendeleza alipoishia na wenye nongwa watakuwepo pia.
 
Sijui kwanini huyu jamaa watu bado wanamkumbuka na kumsifia. Wamesahau kaingizia nchi yetu hasara ya Matrillion kwa kuuza gesi yetu. Na Wamesahau pia anapata mgao wake wa IPTL wa shilingi million mia nne na ushehe KWA SIKU.

A smiling devil
Pia aliingiza nchi hasara ya mabillion ya pesa kwa mchakato wa katiba mpya ambao haukuzaa matunda kwa kuvuruga mapendekezo ya tume ya Warioba.
 
Sijui kwanini huyu jamaa watu bado wanamkumbuka na kumsifia. Wamesahau kaingizia nchi yetu hasara ya Matrillion kwa kuuza gesi yetu. Na Wamesahau pia anapata mgao wake wa IPTL wa shilingi million mia nne na ushehe KWA SIKU.

A smiling devil
Nimeipenda hiyo.
. "A smilimg devil"
 
Hoja iko kwenye public platform ,alafu comment unataka iwe ni private wakati haiko specified-Are you Ok upstairs?
Hoja yangu itakuwa utakavyo kama una akili timamu.Wewe umekuja kuquote comment ambayo usingeweza kuielewa bila kuona mwanzo wa majibizano yetu(mimi na huyo niliyekuwa namjibu),ndomaana nikakuita mkurupukaji. Na najua utaendeleza ubishi usiokuwa na tija kwakua kina sehemu kichwani mwako hapako sawa.
 
Wewe ni poyoyo
 
Totally hopeless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…