Mzee Kikwete leo Mbagala umenena vyema kuwa miradi mingi ya awamu hii uliiasisi wewe japo wa gesi ya Mtwara hujauongelea

njinjo

JF-Expert Member
Feb 15, 2019
2,336
2,000
Fanya ufanyavyo Jakaya ataendelea kuwa raisi bora kabisa zaidi ya huyu mpenda sifa ambae anawaona waliomtangulia hawajafanya lolote,
Alifanya mengi hasa ukilinganisha na deni la taifa lililoongezeka kwenye utawala wake,nakuhakikishia kama Jakaya angekopakopa hovyo kama jiwe angefanya makubwa zaidi ya jiwe huku wananchi tusingeishi maisha ya hovyo kama sasa.
Mpaka sasa hakuna utawala umekopa nje kama wa awamu ya tano huku ukituaminisha kwamba unawachukia sana mabeberu.
Nakukumbusha wakati unachekelea hizo ndege,ufanye na tathmini ya deni la taifa limekuwa kwa kiasi gani kwenye utawala huu ukilinganisha na watangulizi wake.
ficha ujinga wako! hata ile ya escrow umesahau mara hii?
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
9,331
2,000
Are you sure? Watanzania punguzeni unafiki, watu walikuwa wanakaa Ubungo kwenye foleni kwa masaa, Tazara et. achilia mbali kila mgonjwa mwenye connection alikuwa anakwenda kutibiwa nje kwa pesa za Serikali hasa viongozi wakati Watanzania wengi walipoteza maisha bila kuwa na tiba ya uhakika. Leo hii kila moja anapata matibabu ya uhakika hapa hapa.

Kila kona ya duka Dar ilikuwa na generator lake sijui ile polution tu iliua wangapi? JPM ni moto wa kuotea mbali mwacheni tu. Endeleeni na huyo mlevi wa Konyagi huko anakowapeleka anakufahamu mwenyewe peke yake.
Chadema hawatufai watanzania, yaani Leo wanaona jk anafaa? Eti aliasisi miradi! Watu walikuwa wanamwaga maji ya bwawa la mtera ili kuwe na mgao wa umeme watuuzie halafu wagawane escrow leo Chadema wanajitoa ufahamu kweli? Jinga kabisa.
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
9,331
2,000
Jeshi la mtu mmoja (TL) litawapiga wote - Jiwe, JK, Mwinyi, Waryoba, Salimini. Kila lenye mwanzo lina mwisho. Mwisho wa CCM umefika. Basi!
TL siyo jeshi la mtu mmoja Bali viongozi wa Chadema wakiongozwa na mwenyekiti wenu mlevi Mbowe wamemsusa na kumwacha anahangaikia na Salum Mwalimu. Wa kaskazini wote HAKUNA anayejihusisha na kampeni za urais. Hata Katibu mkuu mnyika yuko kimyaaaaa.
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
9,331
2,000
KWANI KUNA RAISI WA CCM AMBAYE HAJATUTIA HASARA?
Sijui Mwinyi na JK Nyerere

BENJAMIN--- Kauza viwanda Vyetu vyote na nyumba za serkal.

MRISHO_________________________

JEIPIIEM_________________________
Magufuli katekeleza anastahili pongezi we baki na huyo rais wa miga.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,460
2,000
Wapinzani hamuelewekagi siku zote, ndo maana ikulu mtaisikia tu!
Wewe ni zwazwa.

Watu wanaongelea maisha yao na future ya taifa lao wewe unasema waoinzani hawaelewagi, nani kakukatirisha mtu kupigania haki yake au taifa lake lazima awe na chama ?

Ndio takataka ndio mnadhani siasa ni kama ushabiki wa Simba na Yanga.
 
Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
10,765
2,000
Sijui kwanini huyu jamaa watu bado wanamkumbuka na kumsifia. Wamesahau kaingizia nchi yetu hasara ya Matrillion kwa kuuza gesi yetu. Na Wamesahau pia anapata mgao wake wa IPTL wa shilingi million mia nne na ushehe KWA SIKU.

A smiling devil
Jomba usisikilize uongo wa Magufuli... nakuhakikishia HAKUNA gesi iliyouzwa!!! Kwa mfano wengine wanasema kawauzia Wachina! Think yourself... makampuni yaliyokuwa yanayotafuta gesi ni pamoja na Total, BP, Exxon , na Petrobras! Na hawa wametumia billions of TZS kufanya gas exploration.

Now tell me... ni kampuni gani ingekuwa tayari kutumia billions of TZS halafu gesi waliyoigundua apewe Mchina?!

Juzi juzi tu hapa nilikuwa na mwana mmoja ambae kampuni yao imetumia au ipo mbioni kutumia zaidi ya TZS Trilion tatu kufanya uwekezaji pale Lindi jirani na sehemu itakojengwa gas processing plant, na wameshatumia billions of TZS kulipia maeneo!

Hata hivyo, bado wanarudishwa nyuma na serikali!!

Huku kusua sua kunatokana na Magu... kama alivyofanya kwenye mradi wa Bandari ya Bagamoyo hadi Wachina walipokosa uvumilivu na kuongea hadharani kwamba yanayosemwa na serikali na mawakala wao kuhusu Bandari ya Bagamoyo ni uongo!!

Ni baada ya huko kusua sua ndipo ile consortium iliyokuwa imepanga kuwekeza USD 30 Billion kwenye gas processing plant, wakaamua kufungasha virago na kwenda zao Msumbuji ambako wamewekeza kwenye 2 plants worth USD 60 Billions!!

And am telling you, ile gas ingekuwa imegundulika Chato, hivi sasa ingekuwa inachimbwa na wala hizi porojo kwamba gesi wameuziwa Wachina wala usingezisikia!

Narudia.... GAS HAIJAUZWA na HAIJACHIMBWA hata tone!!!!
 
Mac Alpho

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
1,417
2,000
😃😃 Ila hakuna nyumbu wenye unafiki wa kiwango Cha juu kama wafuasi wa kundi la kisiasa la CDM. Leo hii mnajifanya kumkubali sana JK, wakati enzi zile yupo kwenye madaraka mlimesena kwa mabaya kadri mwezavyo.
Ama kweli wanafiki sio watu.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,460
2,000
Hawa ukichunguza utagundua wengi wao ni wale waliokuwa wakienda mjini wanafanya ujanja ujanja ikifika jioni mifukoni imejaa pesa,kwahiyo awamu hii kwao ni mwiba...
Msalimie shemeji tako hapo nyumbani
 
Mazigazi

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
9,022
2,000
Sijui kwanini huyu jamaa watu bado wanamkumbuka na kumsifia. Wamesahau kaingizia nchi yetu hasara ya Matrillion kwa kuuza gesi yetu. Na Wamesahau pia anapata mgao wake wa IPTL wa shilingi million mia nne na ushehe KWA SIKU.

A smiling devil
Better a smiling devil than a ........
 
Interested Observer

JF-Expert Member
Mar 27, 2006
1,891
2,000
Fanya ufanyavyo Jakaya ataendelea kuwa raisi bora kabisa zaidi ya huyu mpenda sifa ambae anawaona waliomtangulia hawajafanya lolote,
Alifanya mengi hasa ukilinganisha na deni la taifa lililoongezeka kwenye utawala wake,nakuhakikishia kama Jakaya angekopakopa hovyo kama jiwe angefanya makubwa zaidi ya jiwe huku wananchi tusingeishi maisha ya hovyo kama sasa.
Mpaka sasa hakuna utawala umekopa nje kama wa awamu ya tano huku ukituaminisha kwamba unawachukia sana mabeberu.
Nakukumbusha wakati unachekelea hizo ndege,ufanye na tathmini ya deni la taifa limekuwa kwa kiasi gani kwenye utawala huu ukilinganisha na watangulizi wake.
Kumlinganisha Magufuli na JK kiukweli hufanyi haki. JK alikuwa mwiz, Mafia Boss Mafioso, mgawa pesa kwa zilizoibwa.
Magufuli, yes, mchpakazi, Lakini katili, katunyima uhuru na haki, hatumtaki.
 
Mazigazi

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
9,022
2,000
Nimemsikiliza JK leo Mbagala, He was at pains kumwongelea Magufuli, unamwona kabisa nafsi inamsuta, body language betraying him...sidhani kama atasimama tena kwenye Jukwaa la Kampeni.
2025 JK atafunguka kila kitu

He is waiting a right time sio mjinga huyo mzee .
 
gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
2,630
2,000
Kumlinganisha Magufuli na JK kiukweli hufanyi haki. JK alikuwa mwiz, Mafia Boss Mafioso, mgawa pesa kwa zilizoibwa.
Magufuli, yes, mchpakazi, Lakini katili, katunyima uhuru na haki, hatumtaki.
Ubabe wa Magu unapelekea taarifa za wizi unaomuhusu yeye kutowekwa hadharani,kama hujui mpaka sasa pesa nyingi za baadhi ya miradi zimehamishiwa kwenye mafungu yasio kaguliwa mfano pesa zilizotumika kwenye manunuzi ya ndege,
Kilichomponza Professor Assad ni uwazi wake wakati utawala huu hautaki mabaya yake yafahamike reff 1.5trln.
Watu wanazungumza humu habari ya Mayanga Construction huwa hufwatilii.Jakaya anaonekana mwizi kwakuwa aliruhusu uwazi ila nakuhakikishia inawezekana kabisa utawala huu ukawa kinara wa wizi wa pesa za uma kuliko utawala wowote.
Jiulize kwanini utawala huu unaongoza kwa ukiukwaji wa procurement low,rules and rugulation na anaefanya haya ni huyu unaemsifia?
 
gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
2,630
2,000
Kumlinganisha Magufuli na JK kiukweli hufanyi haki. JK alikuwa mwiz, Mafia Boss Mafioso, mgawa pesa kwa zilizoibwa.
Magufuli, yes, mchpakazi, Lakini katili, katunyima uhuru na haki, hatumtaki.
Ubabe wa Magu unapelekea taarifa za wizi unaomuhusu yeye kutowekwa hadharani,kama hujui mpaka sasa pesa nyingi za baadhi ya miradi zimehamishiwa kwenye mafungu yasio kaguliwa mfano pesa zilizotumika kwenye manunuzi ya ndege,
Watu wanazungumza humu habari ya Mayanga Construction huwa hufwatilii.Jakaya anaonekana mwizi kwakuwa aliruhusu uwazi ila nakuhakikishia inawezekana kabisa utawala huu ukawa kinara wa wizi wa pesa za uma kuliko utawala wowote.
Jiulize kwanini utawala huu unaongoza kwa ukiukwaji wa procurement low,rules and rugulation na anaefanya haya ni huyu unaemsifia
 
Village fooler

JF-Expert Member
Mar 16, 2020
308
1,000
K
😃😃 Ila hakuna nyumbu wenye unafiki wa kiwango Cha juu kama wafuasi wa kundi la kisiasa la CDM. Leo hii mnajifanya kumkubali sana JK, wakati enzi zile yupo kwenye madaraka mlimesena kwa mabaya kadri mwezavyo.
Ama kweli wanafiki sio watu.
Kwahiyo mlitaka chadema wampongeze na kumsifia Jk haf nyie Lumumba ufanye Kazi gani??? Halafu Jk pamoja na kua na mapungufu yake lakini hayo mapumgufu can't be compared to magufuli
 
Mac Alpho

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
1,417
2,000
K
Kwahiyo mlitaka chadema wampongeze na kumsifia Jk haf nyie Lumumba ufanye Kazi gani??? Halafu Jk pamoja na kua na mapungufu yake lakini hayo mapumgufu can't be compared to magufuli
Hamkuwahi kuyaona mema ya kiongozi yoyote ikiwa anatokea CCM, kwahiyo hatutegemei nyinyi kumsifia Magufuli.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom