Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,188
- 7,490
Sijui, picha inajieleza nadhaniKwani naye anaisoma namba kama sisi?
Mzee kikwete hatokua na mfano wake kwa utendaji na weledi ulio tukuka
jk akisoma comment kama hizi atakuwa huwa anacheka sanaMzee kukwete hatokua na mfano wake kwa utendaji na weledi ulio tukuka
Ha ha haMwambie huyu msimamizi wa kaya alietuletea na balaa hatuli tukashiba, tunanjaa lakini yeye husema eti walio na njaa ni wale walio zoea kula sana.
Man kwa jinsi hali hilivyo.. itabid umfuate mzee pale msoga .... ukiomba msamaha.. maana hali si halinataka nimuombe msamaha huyu jamaa.
ukiona mtu anasema chumvi tamu ujue njaa imekolea. katiba ingekuwa inaruhusu kugombea tena kikwete hata aende ACT 2020 atapata kura 90% dhidi ya huyu wa sasaMzee kukwete hatokua na mfano wake kwa utendaji na weledi ulio tukuka
Unamsemea yule mwenye phd hewa?Salamu hizi zimfikie Lowasa,UKAWA na Bawacha. Kikwete alikuwa chaguo la Mungu na sasa katuletea chaguo la Mungu asante Mh JK.