Mbona unawaza kisanii namna hiyo, au wewe ni mvuta bangi?Mmoja aliitwa Kaya
Mwingine akaitwa Pombe
Sasa nimeanza kuelewa kwa ni ni Bob Marley alikuwa akila Kaya lakini hanywi pombe!
Kaya dawa!
Kumbe mkwere siyo kabila bali ni tabia?Bavicha mnamkumbuka mtu mliemwita dhaifu,mkwere,mswahili,anacheka cheka na kila aina ya udhalilishaji.
Mungu amesikia kilio chenu,muacheni Mungu afanye kazi yake,kulalamika ni sawa na kumkashifu Mungu
Mzee kukwete hatokua na mfano wake kwa utendaji na weledi ulio tukuka
WEW HUWEZII MFANANISHAA JK na yulee mzee mfupii mmakondee wa kusinii yulee ....mpaka anaondokaa madarakani 3Hata huyu aliyepo sasa akimaliza , miaka yake kumi (10), mtamkumbuka na mtamiss, watanzani ndio walivyo sijawahi kuwasikia wakimponda kiongozi aliyemaliza muda wake.
Acheni unafikiMzee kukwete hatokua na mfano wake kwa utendaji na weledi ulio tukuka
Binafsi mimi sikuwahi wala kupata fununu kuwa kuna mtanzania aliwahi kusema anamiss mkapa Hakuna acha uongoMimi na wengine wengi tulisikia.
Mwambie huyu msimamizi wa kaya alietuletea na balaa hatuli tukashiba, tunanjaa lakini yeye husema eti walio na njaa ni wale walio zoea kula sana.
DR.Jakaya Kikwete Ni Rais wangu wa WAKATI WOTE Hakuna Rais Aliyewahi kuwa Bora Sio Tanzania tu Afrika Nzima Kama Dr.Jakaya
1.migomo ya Madaktari
2.Migomo ya Wafanyakazi
3.Maandamano ya Opreshen Sangara
4.Mabomu ya Gongo la Mboto
LAKINI MKAZIMISHWA NA BABU WA LOLIONDO KISHA;
1.Migomo ya Madaktari ikapata Ufumbuzi wakaongezewa marupurupu na kimbelembele wao Ulimboka akaipata chai akatulia
2 .Wafanyakazi wakaongezewa Mishahara na Marupurupu wakatulia
3.Opreshen Sangara wakaitwa Ikulu wakapewa Chai wakatulia
4.Mabomu Mbagala na Gongo la Mbali wakajengewa Na kupewa Majumba yao wakatulia
Sahau hilo, kwani ilianza kudaiwa leo?2020
Tume huru ya uchaguzi idaiwe Tanzania
Hivi yale maneno mliyokuwa mkimbandika jk yalitokana na nn nyie msiojua kushukuru, mara mwite dhaifu , wakucheka ile kinyume chake nn niniBinafsi mimi sikuwahi wala kupata fununu kuwa kuna mtanzania aliwahi kusema anamiss mkapa Hakuna acha uongo
Leo ndio limekuwa jembeWEW HUWEZII MFANANISHAA JK na yulee mzee mfupii mmakondee wa kusinii yulee ....mpaka anaondokaa madarakani 3
2005 alifanyaa nini ...au daraja la rufiji ...jamaa alikunyaa yule kwa maneno ya mtaanii ILA HILOO JEMBEE WEW ...JK ...