uko sahihi kabisa kama alivyo mchaga na wiziKumbe mkwere siyo kabila bali ni tabia?
uko sahihi kabisa kama alivyo mchaga na wiziKumbe mkwere siyo kabila bali ni tabia?
mwambie NAYE PIA.NAMUOMBEA AFYA NJEMA. NATAMANI KUMTEMBELEA NIKACHOTE HEKIMA ZAKE NA UVUMILIVU WA AINA YAKE.!View attachment 453487aidha, anawatakieni heri ya mwaka mpya na maisha yenye furaha
"HATA BAADO HUJANUNAA....."Jahazi modernKwakweli sikua na mapenzi na KIKWETE,,,ila kwa hali ya nchi ilivyo natamani arejee IKULU hata Kesho.
Baba tunakukumbuka.
Wamesahau walikua wanasema ni dhaifu,kweli hawa ni vichwa vya kukuSalamu hizi zimfikie Lowasa,UKAWA na Bawacha. Kikwete alikuwa chaguo la Mungu na sasa katuletea chaguo la Mungu asante Mh JK.
Anzeni na uhuru ndani ya chadema2020
Tume huru ya uchaguzi idaiwe Tanzania
Usishangae alikua bado mdogoMimi na wengine wengi tulisikia.
Ulikua bado mdogo usingeweza kusikiaBinafsi mimi sikuwahi wala kupata fununu kuwa kuna mtanzania aliwahi kusema anamiss mkapa Hakuna acha uongo
Mzee kukwete hatokua na mfano wake kwa utendaji na weledi ulio tukuka
hilo nalo.......mi sikuwahi kusikia enzi za kikwete watu wakimmiss mkapa
Dr.wa ukweliiDr. Jakaya Mrisho Kikwete
Kwakweli sikua na mapenzi na KIKWETE,,,ila kwa hali ya nchi ilivyo natamani arejee IKULU hata Kesho.
Baba tunakukumbuka.
Mwanadiplomasia angekamata usukani muda huu dual citizenship tayari. Sasa, daaah! Wacha nikusapoti tu, tumepoteza kama tulivyompoteza salim miaka ile.Uzuri baba ni pale anapokuambia nenda kajitegemee au baba anapokufa. Kuna watu walikuwa wanaaminisha eti baba wewe ulikuwa dhaifu tulipambana nao sana..eti baba anachekacheka. Leo wamemiss tabasamu lako.
Lakini baba wewe ugomvi na rafiki yako wa ujanani umelicost taifa Leo. Baba ulishindwa kudictate na kutuletea chaguo lako/ langu pia..
Baba leo umefurahia mwaka mpya wenzako tunalia. Naikumbuka hotuba yako moja ivi ulisema you can make good president come forward. Naikumbuka ile hotuba yako bungeni kuhusu rafiki Kagame. Ulijua kucheza na diplomasia, japo umetukanwa ukasema yaishe..
Najua baba uliwajua wasaidizi wako ndo maana ukitaka kutuachia chagua lako na mshabiki wangu.
Binafsi nakulaumu kidogo kwann ulishindwa Ku dictate mchakato maana jamaa yako wa zamani ulishamkata..kwani wangefanya nn km ungelazimisha mwanadiplomasia awe Rais.
But namlaumu sana rafiki yako wa zamani kwa kudirect / influence nyumbu wake wasimpigie kura rafiki yetu na hasimu...laiti angejua.
Angejua...Japo baba mdogo uliyetuachia ni mkali sana..tunakuahidi tutampenda, kumuheshimu na kumkosoa kwa utii na adabu.
Mzee Kikwete najua unakutana sana na baba mdogo kwenye whisky meetings ( off- record meetings) tafadhali twakuomba mshauri japo kidogo hali ngumu.
Free mind