Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,402
- 88,872
Tunaachana. Kwanza mtu asiemtaka mtoto wangu wa nini
Ungekuwa ni wewe ungefanyaje
Ungekuwa ni wewe ungefanyaje
ha ha ha ha kichwa kinakuwa kimevurugwa na mitishambaTunaachana. Kwanza mtu asiemtaka mtoto wangu wa nini
The power of gwamumboga `rhizomes`Mkuu nilipeni hata jero tu mi kazi yangu nikufundisha adabu wajinga wajinga kama huyo mwanamke...
Ila kama watoto ni wakubwa kwanini wasiende kumtimua huyo "mdada" au ni wanaume wa Dar? Huyo mwanamke anastahili kipigo cha mbwa koko
Kipindi hicho mtoto wa kiume alikuwa la Sita, kwa hiyo bado hajafikisha hiyo miaka .Hana mtoto wa kiume mwenye miaka 20+?
Tumemtoa mzee polisi mzee akamhadithia mke wake jinsi tulimvyomtoa na ushauri tuliompa wa kuachana nae,dah tulinuniwa na mke wa mzee balaa huku akimwambia mke wangu kwamba anamchukia sana mfanyakazi mwenzangu ( aliyemshauri mzee kuachana).Mwandishi ulishindwa ata kumchukua makofi uyo bidada [emoji41]