Mzee kaingia cha kike

Mzee kaingia cha kike

vijana tafuteni pesa acheni kushambulia ndoa ya huyo babu, nyie wenyewe wengi wenu hamuoi mkongo ndio zenu na mguvu hakuna vile vile
 
Acha kiburi cha Afya si vyema

Mrema hajaanza kuumwa jana wala juzi…Corona zote zimemkuta dhaifu na zimemuacha na wameng'oka Vijana wazima waliokuwa na afya zao

Pia si vyema kumdhalilisha Mwanamke yule hasa ukizingatia humfahamu zaid ya kuona picha zake na kuanza kumdhalilisha kwa kashfa nzito nzito bila ya sababu ya msingi

Hata kama unatumia ID feki kiasi kwamba hakuna binadamu anaefahamu ila tambua Mola wako anakuona na kuna siku utahojiwa na kuhukumiwa kwa kashfa na matusi yako
Kutokana na komenti hiyo, Ninaomba radhi kwa mzee Mrema binafsi na mkewe mpya, Kwako wewe mkuu Pohamba, wana JF na wote waliokwazika kutokana na maudhui ya komenti hiyo. Mungu anisamehe!
 
Kutokana na komenti hiyo, Ninaomba radhi kwa mzee Mrema binafsi na mkewe mpya, Kwako wewe mkuu Pohamba, wana JF na wote waliokwazika kutokana na maudhui ya komenti hiyo. Mungu anisamehe!
Nimefarijika sana kwa comment yako…Mungu atupe mwisho mwema sote na tuwe na staha katika comments zetu ili tusivule mipaka
 
Huyu mzee kaamua kujiua mapema sijui dunia imemkosea nini.

Hilo lidemu lake litakuwa linaliwa tigo hadharani mwishowe mzee presha itazidi atakata kauli!
Nilitaka nikutukane ila nikaona nitakuwa mpumbavu kuliko wewe. Hayo matusi huyo mama kakukosea Nini? Kwenu hakuna wanawake? Hovyo kabisa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom