Mzee Job Lusinde: Kiongozi usitumie cheo chako kuvamia na kuchukua mke wa mtu

Kumbe akina Mugabe wako wengi eh??!! Hii history ilianzia kwa ki Huria na nikafikiri imeishia kwa Mzee Mugabe !! Lakini nimechunguza mtaani nimeona "mwenye nguvu mpishe"
 
Wacha uongo wako hapa Balozi Job hawezi kuzaa tilatila namna hiyo!

Kwa taarifa yako, Balozi Job Lusinde (Ayubu Lusinde) na John Samwel Malecela ni mtu na kaka yake. Baba mmoja na mama mmoja. Kibajaji ni mtoto wa kuzaliwa wa
Balozi Lusinde kama Le Mutuz alivyo mtoto wa kuzaliwa na waziri mkuu mstaafu John Samwel Malecela.

Wazee wako vizuri sana upstairs ila watoto wao sasa......
 
Tusimlaumu sana pogba,,labda mtoto kajirahisisha mwenyewe,si unajua wanawake tena,
 
Hebu tufafanulie kidogo maana wengine wageni hapa mjini. Huyo uliyemtaja anahusikaje na mada hii?
Kumbuka slogan ya JF, where we talk openly!
naona unamtafutie mwenzio balaa ...hahaa watu wa humu Jf bhanaa
 
Mfalme Daudi alimchukua mke wa mtu, hatimaye akamzalisha mtoto aliyekuja kuurithi ufalme wake (Mfalme Sulemani). Ujue kuna supernatural forces inalazimisha mambo hayo japo siyo rahisi kuyaeleza kwenye ulimwengu wa damu na nyama.
Kama kawaida yenu huwa hamkosekani wazee wa kufosi peasi kuwa apple
 
Back
Top Bottom