Mzee Job Lusinde: Kiongozi usitumie cheo chako kuvamia na kuchukua mke wa mtu

Ukiwa Kiongozi lazima uwe mfano katika kuongea, kutenda, kuvaa na unavyoongea na watu. Usiwe mla rushwa, mfanya magendo, mwizi. Sio unatumia madaraka na cheo chako kuvamia na kuchukua mke wa mtu

Mfalme Daudi alimchukua mke wa mtu, hatimaye akamzalisha mtoto aliyekuja kuurithi ufalme wake (Mfalme Sulemani). Ujue kuna supernatural forces inalazimisha mambo hayo japo siyo rahisi kuyaeleza kwenye ulimwengu wa damu na nyama.
 
Back
Top Bottom